Thu, Jul 12th, 2012
Tanzania |
The Media Council of Muslim (BAHAKITA) intends to sue the Medical Association of Tanzania (MAT) for causing death to several people as a result of doctors' strike...
Mimi nauliza na ushamba wangu wa kuishi nje. Je NSSF walinunua kiasi gani jengo la THI kutoka kwa Tazara mpaka wawe na kodi ya Billion Moja kwa mwaka kwa THI. THI inadaiwa TSH 6 Billion kwa miaka...
Thu, Jul 12th, 2012
Headlines / Uganda |
President Yoweri Museveni has cautioned that the population issue in Africa should be put in its proper context and discussed without complacency...
Hali ya nchi kwa sasa ni ya mabadiliko ya fikra na matarajio ya walio wengi. Watanzania wamechoka kusikia na sasa wanataka vitendo vitakavyoinua hali ya maisha ya Wananzania. Amani ya kisiasa...
Katika hotuba iliyosomwa na kambi ya upinzani na Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee, amekiri wazi wazi kuwa CHADEMA wanaongozwa na Mfumo Kristo na ameahidi "ipo siku tutaifikia Nchi ya...
wakuu nimemsikiliza nasari muda mfupi uliopita alichosema kweli kina manufaa tunataka fly overs barabara nne nne na madaraja ya kifahali wakati huduma ya msingi hasa na maji kwa wananchi hawana...
Nilipata matumaini makubwa sana ya kupata usuluhishi wa mgogoro kati ya madaktari na Serikali hasa baada ya Waliojiita Viongozi wa dini walipojiingiza katika Suala hili.
Binafsi namheshimu sana...
Kamati kuu ya chadema imeanzisha mfumo wa kutathmini kazi ya kila kiongozi wa kuchaguliwa au kuteuliwa ndani ya chama hicho kama inaendana na maazimio ya chama kuwatumikia wananchi..
Kamati kuu...
Leo bungeni mhe.Mwigulu Nchemba amemkumbusha Speaker kuhusu JJ Mnyika kuwasilisha ushahidi vile alimtuhumu kwamba alishiriki kwa namna moja ama nyingine katika ufisadi wa EPA...
Kenya and Uganda have shut the door on foreigners seeking permits for jobs that pay less than Sh168,000 per month or Sh2 million per year.The move, which marks a major labour market policy change...
Ndg wanaJF,
Taarifa nilizopokea hivi punde ni kuwa Mwenyekiti wa Taifa, wa Baraza la vijana Chadema kamanda John Heche amekwea pipa jioni hii kuelekea nchini Moroco kuhudhuria kikao cha bodi ya...
Wakuu, nimekuwa nikifuatilizia mijadala ya bunge kwa muda mrefu sasa, nimegundua baadhi ya wabunge huongea kwa hisia za dhati, lakini ni waoga katika maamuzi kwa kura, hususan wanapotakiwa kupiga...
Miaka mitano (5) iliyopita, hapa JF kulikuwa na mjadala endelevu mkali sana juu ya ugomvi kati ya Taasisi ya Moyo (THI) na Serikali kupitia Wizara ya Afya. Sakata hili sasa limehitimishwa rasmi...
Neville Meena na Habel Chidawali, Dodoma
KAMATI ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, imesema Baraza la Mawaziri lililoundwa na Rais Jakaya Kikwete ni kubwa linalohitaji kupunguzwa ili kupunguza...
Kitendo cha jeshi la polisi kutuhumiwa kwa kuhusika na kitendo cha kumteka Dr. Ulimboka na jeshi hilo kuunda tume ya kuchunguza tuhuma hizo ni kitendo cha kukandamiza haki za msingi za Dr...
Daniel Mjema, Moshi
ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini ya Dk Martin Shao amewasihi madaktari waliogoma katika hospitali mbalimbali nchini ikiwamo KCMC...
I am ashamed to be tanzanian.
we sacking of those doctors has cost the taxpayer all that money..and for what??even crappier health care??
if doctors are reading this we cannot stand back and watch...
Wana jf,pametokea vurugu kupelekea barabara ielekeyo malawi, eneo la Tukuyu kufungwa kwa muda na wananchi baada ya wafanyakazi wa TRA kutaka kukamata gari ya mkazi mmoja hapa Tukuyu,alieamua...
Ukifuatilia mijadala inayoendelea pale mjengoni utagundua kuwa kuna baadhi yao hasa wale wa magamba uchangiaji wao unatokana na homa za vipindi na si kusukumwa na kile wanachokiana ktk ile bajeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.