Nassari afyatuka: Kama maji hatuna flyover za nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nassari afyatuka: Kama maji hatuna flyover za nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tanira1, Jul 9, 2012.

 1. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wakuu nimemsikiliza nasari muda mfupi uliopita alichosema kweli kina manufaa tunataka fly overs barabara nne nne na madaraja ya kifahali wakati huduma ya msingi hasa na maji kwa wananchi hawana tujadili
   
 2. kamtu33

  kamtu33 JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 971
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  huyu jamaa nikichwa sana.
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mh. Nassari akichangia leo bungeni ametiririka point kama mkongwe kabisa na mwisho hakuunga mkono hoja hadi majibu ya kwa nini Arumeru haina maji licha ya kuwa na vyanzo vingi vya maji.

  Akichangia kwa machungu kabisa, amesema kuna watu wake wanagongwa kwa ajili ya kuhangaikia maji!!!!

  Alipomaliza Nassari akaja mzee wa bendera ya CCM ina rangi gani aka Lusinde kuchangia.

  Kwanza alianza kwa kusema kuwa kuna mtu alikuwa anamfuatilia fuatilia bila ya shaka anataka kuumua na kusema siku hizi tumeendelea sana hadi kufiia hatua ya kugundua mtu anataka kumuua kwa kuangalia macho !!!=

  Katika kuchangia kwake leo hii hakufuka moshi na mwisho hakuunga mkono hoja kwa kuwa jimboni kwake watu hawana maji hadi kufikia hatua ya kunywa maji na mifugo hiyo haiwezekani!!!!!
   
 4. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kwakweli ametuwakilisha vema sana hasa watu wa
  1.king'ori
  2.kikwe
  3.leguruki
  4.usa-river
  5.kikatiti.
   
 5. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  tanira1 Sio barabara za kifahari, dhumuni ni kupunguza msongamano ili tuwahi kazini tuweze kushughulikia maji, imagine mtu una drive 21 km for three hours (tegeta to masaki) kila siku X2 means 6 hours back and forth... think.

  hakuna suala la kujadili hapa,
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kun mbunge mmoja nadhani ni wa upinzani huyu anaponda kuwa wizara ya maji ivunjwe kwa kuwa imeshindwa kuleta maji.

  Huyo ni mbunge ni wa Namanyere, hajaoga kwa siku tatu alipokuwa Namanyere akasema yeye ni mwanamke je mwanamke itakuwaje. Ni Ally Kessy kwa kweli amenifurahisha sana.
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kaka maji yashughulikiwe mwaka 2012 tangia CCM iko madarakani miaka 51 leo ?
   
 8. D

  Drake Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Habari jamvini,
  Naamini sitakuwa kuwa nje ya mada,kwani ukiondoa asilimia 60 ya magari binafsi yanayozunguka dar,ukawa na madaladala route zote Mara ya zilizopo sasa.msongamano utaendelea?

  Lakini pia tujadili njia mbadala ya kuondoa msongamano wa magari dar.
   
 9. A

  Aristides Pastory JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sisi tunahitaji, Huduma za jamii kama Vifaa Katika Zahanati, hospitali za wilaya, vitendeakazi vya Wakulima vijijini, uboreshaji barabara za chini kwanza..
  Halafu bado tunachekelea eti, flyover...
   
 10. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mkuu point of corection hapo uliposema nassari ametiririka kama mkongwe....ilitakiwa uandike "ametiririka zaidi ya mkongwe"..
   
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Noted mkuu, kama reference ni wakongwe wa CCM sawa lakini CDM yote ni majenmbe na hivyo atakuwa ni kama amekwenda sambamba na wakongwe kama akina Zitto n.k
   
 12. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Kamanda kijana mpiganaji!


  Namkubali!
   
 13. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mkuu watanzania walio wengi wanaishi vijijini..wanatumia mudamwingi kwenda kutafuta maji na hii ni kwarika zote vijana,wamama,watoto,na wazee..hawa walitakiwa muda mwingi watumie katika shughuli za kilimo,na watoto wanatakiwa kuwa shule badala ya kuwaste the whole day kutafuta maji..by the way maji ni afya pia..you should think twice mkuu..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #14
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Asante Lunyungu, ndo nataka kumwonesha huyo aliyeleta hiyo hoja dhaifu ya maji hapa, tulitakiwa kuzungumzia maendeleo maji sio maendeleo ni basic need, kama mpaka leo tunajadili maji maana yake WAO M kazi imeshawashinda siku nyingi...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  serikali ihamie dodoma..
   
 16. D

  Davie Member

  #16
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  tatizo la viongozi wetu ni kwamba wanafikiria mwisho Dar es salaam...utaongelea flyover lakini ipact yake ni kwa watu wachache sana(sio kwamba nasema flyovers ni mbaya).
  ila imekuwa ni kawaida ya wanasiasa..unakuta ni mbunge wa huko mbali lakini analalamika kuwa Dar mifereji haifanyi kazi mvua zikinyesha....
  Waziri wa ardhi ni nadra kumsikia mikoani ama wilayani..ila kila siku utamsikia anahangaika na viwanja na maeneo ya wazi ya Dar.
   
 17. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #17
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160


  Nimeipenda hii Mkuu!
  Huyo Dogo ananifurahisha sana!
  Natamani wawepo Wabunge 250 pale majengoni kama yeye na bila shaka tungekuwa pazuri kimaendeleo!

  Viva Nassari!

  Viva Chama cha Demokrasia na Maendeleo!
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Flyover ziwepo na tuone madawati shuleni na madawa mahospitalini.

  Sio kujaribujaribu mambo tu kama walivyofanya kwa issue ya Machinga complex!!

  Uzuzu wetu ndo mtaji wao!!
   
 19. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #19
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,267
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  Waambie Nsero wa chenyi.

  Uningwe mbora kamanda
   
 20. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #20
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  noted mkuu
   
Loading...