Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hoja kubwa ambayo imekuwa ikitolewa na wale wanaopinga mgomo wa madaktari ni kuwa mgomo una madhara ya moja kwa moja kwa wagonjwa na hasa upatikanaji wa huduma ya afya. Wanaopinga mgomo wa...
13 Reactions
67 Replies
5K Views
Nadhani katika pilika pilika za kuwazomea akina Mramba watu hawakushtukia kuwa Dr masau alikuwa mmoja wa mahabusu ambao jana walipanda katika Karandinga kwenda mahabusu huko keko. Amepelekwa...
0 Reactions
50 Replies
8K Views
Katika hali ya kawaida, Watanzania tumepoteza mwelekeo kabisa. Hii inatokana na ukweli kuwa hata wabunge tuliowatuma kwenda bungeni ili kujadili mambo ya msingi ya ujenzi wa njia msingi za kuleta...
0 Reactions
2 Replies
927 Views
MGOMO:Madaktari 319 wafutiwa leseni Waandishi Wetu BARAZA la Madaktari Tanganyika limewafutia usajili madaktari wote waliokuwa katika mafunzo ya vitendo (Internship), baada ya...
3 Reactions
188 Replies
23K Views
Nakumbuka enzi za Mrema kusaidia nchi kusafisha wezi, majambazi, wazembe kazini, boss akichelewa kazini anakuta kiti kimechukuliwa, enzi za kutoa siku saba, alitusaidia kiasi kuwa rais mwinyi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nimepata habari kuwa Raisi wenu Jk,leo amekutana na wanamichezo wa Tz wanaoishi Uingereza, ameongea nao mambo mengi ya Tz na kuwaasa wasiogope. Napend nijue hv ndiyo kazi mliomchagua...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi Tanzania haiwezi KABISA kuandaa bajeti na kuendesha nchi bila kutegemea VILEVI (POMBE) na SIGARA????? NI AIBU SANA MAANA TUNA MALIASILI NYINGI SANA ZINAZOTOSHA KUENDESHA NCHI BILA YA KUHITAJI...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Nimepata taarifa za kiuchunguzi kwamba Mbunge wa Nzega Hamisi Kigwangallah amepigwa stop na chama chake wilayani Nzega kutokufanya maandamano yake akiambatana na wananchi na viongozi mbalimbali...
7 Reactions
67 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu ni imani yangu mko salama salimini ! Wadau ktk kipindi kile cha uchaguzi wa Eala sikupendezewa sana na rushwa zilizokuwa zinaendelea chini kwa chini.....! Pia aina ya washiriki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali imeamua kwenda mahakamani kuzuia mgomo wa walimu na kutolewa amri ya kutogoma na mgomo kuwa hauna uhalali na wakigomo hatua ya kinidhamu itachukuliwa dhidi yao. Concern Mahakama...
0 Reactions
77 Replies
6K Views
Source BBC na Omary Mutasa kutoka Afrika Kusini Ni wazi kuwa hali ya Dr. Steven Olimboka ni mbaya na kalazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi na anapumulia mashine, hajitambui wala haongei...
5 Reactions
235 Replies
23K Views
Tetesi ambazo bado naendelea kuzifuatilia ni kuwa specialists doctors wa muhimbili wameanza ku-resign kuonyesha kutoridhishwa kwao na mwenendo mzima wa jinsi serikali inavyoshughulikia swala la...
12 Reactions
94 Replies
9K Views
MGOGORO baina ya Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila na Uongozi wa chama chake cha NCCR-Mageuzi, umeelekea kupata suluhu baada ya chama hicho sasa kuamua kumsamehe. Mvutano huo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukijaribu kufuatilia shughuli za bunge zinazoendelea kule mjengoni utakubaliana na mimi hata POSHO na hizo SITTING ALLOWANCE wanazolipwa ni bure kabisa na ni matumizi mabaya ya pesa zetu sisi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wana JF. Nimetafakari kwa kina sana juu ya huu umasikini wetu unaotukabili Watanzania kama taifa na kama Mtanzania mmoja mmoja. Umasikini huu unaotukabili ni wa aina 2, umasikini wa kwanza...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Mengi yamesemwa kuhusu Chadema chama ambacho kilionekana kuwa kingeleta upinzani wa kweli kwenye ulingo wa siasa. Lakini baada ya mambo kadhaa ya yaliofanywa na Chadema ambayo yamedhihirisha...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Tuesday, 10 July 2012 20:21 Mmoja wa watu waliokuwa wakiishi katika nyumba zilizojengwa katika eneo la hifadhi ya Mikoko kando ya bahari ya Hindi eneo Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Wadau; Baada ya kurudi kwa jembe letu, saed kubenea kutoka masomoni nchini Holland, Mwanahalisi leo limemaliza kazi kabisa. Soma sehemu hii ya stori yake ya leo...
7 Reactions
171 Replies
14K Views
Mon, Jul 9th, 2012 Headlines / Tanzania | President Jakaya Kikwete jets in here on Tuesday where he will attend groundbreaking International Family Planning Summit that will launch a Global...
0 Reactions
117 Replies
9K Views
Medics’ leader in court Tuesday, 10 July 2012 22:35 digg By Rosina John The Citizen Correspondent Dar es Salaam. A day after he was interrogated by police, the president of the...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom