Kapo Jr
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 996
- 280
Wana jf,pametokea vurugu kupelekea barabara ielekeyo malawi, eneo la Tukuyu kufungwa kwa muda na wananchi baada ya wafanyakazi wa TRA kutaka kukamata gari ya mkazi mmoja hapa Tukuyu,alieamua kuondoa gari tra wakaanza kumfukuzia na defender nusura wagonge watu hivyo kuamsha hasira kwa wananchi wakafunga barabara.polisi wamefika kuona uma umechachamaa wameondoka,kaja mkuu wa wilaya Crispin Meela kubaini kosa kwa meneja wa tra,hivyo kawaomba wananchi wapunguze hasira. My take TRA wakwepaji wa mapato ni vigogo mnawafaham wafuateni kuliko hawa wajasiliamali waliopigika