Kabla ya ushahidi wa Mnyika,tuelezee hii siri Mhe.Nchemba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kabla ya ushahidi wa Mnyika,tuelezee hii siri Mhe.Nchemba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makala Jr, Jul 10, 2012.

 1. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Leo bungeni mhe.Mwigulu Nchemba amemkumbusha Speaker kuhusu JJ Mnyika kuwasilisha ushahidi vile alimtuhumu kwamba alishiriki kwa namna moja ama nyingine katika ufisadi wa EPA. Kumekuwa na nadharia kwamba Mhe.Nchemba hakuhusika kwakuwa alianza kazi baada ya ufisadi kutokea.Namtaka Mwigulu Nchemba awaeleze Watanzania yafuatayo: 1.Kwa kuwa M/kiti wa chama chake aliwahi kukiri kwamba,fedha za EPA zilikuwa zinarudisha je,aliwajua wale waliokuwa wanarudisha? 2.Kama alikuwa hajui, je yuko tayari kukiri kwa Watanzania kwamba ana nidhamu ya uoga kwani hata pale aliposikia,hakuumuliza mwenyekiti wake wa chama? 3.Kwa kuwa Nchemba anadai hakuhusika,lakini yeye ndiye mtunza hazina wa chama cha mapinduzi ambacho M/kiti wake Rais Kikwete alikiri urudishwaji wa mali,sasa ni kwa kadri gani hakushiriki kutunza hazina za kifisadi- kwa kujua ama kutokujua? 4.Aliwasaidiaje maofisa wa TAKUKURU ili wapate ushahidi akiwa kama raia mwema?
   
 2. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kweli bwana .. Nchemba mwigullu ana kesi ya kujibu..
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  aeleze pia pesa za KAGODA zilitumikaje?maana rostam aliacha docs ofisini kwake za matumizi yake
   
 4. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gandagumu hapo, umekandamiza mwanangu!!!
   
 5. w

  wakuziba Senior Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwakukumbusha tu ni kwamba kwanza alikuepo salome mbatia, then rostam, then makala na sasa nchemba ambae hata mwaka hajamaliza. EPA ilifanyika kipindi cha mkapa 2003. sijui huyu ncemba ambae hata mwaka hajamaliza anahusikaje? mnyika alisema kuwa " nchemba ni fisadi anahusika na EPA" hayo ndiyo maneno ya mnyika. ukiweka siasa pembeni, kwa wanaojua sheria, mnyika yuko kikaangoni. na nchemba hamuachi. atafukuzwa bungeni kwa miezi kadhaa kwa kusema uongo kama alivyowahi fukuzwa zitto kabwe
   
 6. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,736
  Likes Received: 1,447
  Trophy Points: 280
  Imetulia mkuu.
  Nchemba ni memba humu so tunategemea majibu yenye kujitosheleza kwa hoja hizi
   
 7. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,736
  Likes Received: 1,447
  Trophy Points: 280
  Nchemba,

  Uje huku kwenye bunge kuu na huru (wananchi), huku kuna uhuru na mizani nzuri ya haki kuliko hapo mjengoni kwa madam Speaker
   
 8. Blood Hurricane

  Blood Hurricane JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,151
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Nachoooooooooooooooka na propaganda za siasa za bongo. Eti Mwigule naye mbunge...Hasara tupu.
   
 9. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mbona waliorudisha pesa ya EPA wanafahamika?

  1. Jeetu Patel 2. Maranda 3. Farijala 4. nk
   
 10. Mwita Matteo

  Mwita Matteo JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: May 16, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwani maaneno ya Zitto kipindi kile yalikua ya Uongo?? Na wasiwasi na uelewa wako wa neno uongo
   
 11. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ni kama unakiri kimyakimya kuwa CCM ilikomba EPA vile ila kwamba Nchemba hakuhusika! Yangu macho mwisho tutauona pengine.
   
 12. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #12
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Huyo namba 4 na mie namfahamu tena ndiye alichukua nyingi!!!!
   
 13. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo basi na mwizi akiiba pesa benk akakamatwa akasema atazirudisha basi aachiwe huru asipelekwe mahakamani
   
 14. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Imbombo ngaffu....mwanawane....jilipo jilipo!!.....imbombo!!!:israel:
   
 15. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #15
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,645
  Likes Received: 21,857
  Trophy Points: 280
  Kumbe wasema uongo Bungeni wanapaswa kufukuzwa eeh! sasa Zitto kweli alifukuzwa kwa kusema uongo ambao baadae ulidhihirishwa kuwa kumbe ni ukweli.
  Sasa yule bwana aliyesema uongo na Lema akadhibitisha kuwa kasema uongo kuhusu sakata la Arusha vipi Bunge likaminya shahidi ule? Au kanuni za Bunge zinalalia upande mmoja?
  Sasa msiwe na moto maana Mnyika atadhibitisha uhusika wa Mwigulu katika kula njama za kuficha uhalifu (ambalo nalo ni kosa kisheria) na hatutaki majibu yake yaishie ndani ya ofisi ya spika,yawekwe hadharani na wasipoweka basi tutamwomba Mnyika atuwekee humu.
   
 16. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  1. Ukimkamata ukampeleka mahakamani unakuwa umempa adhabu stahiki.

  2. Lakini imagine kama utaweza ku recover pesa zako angalau kiasi, wakati huo huo ukampata confesion (indirect kwa kurudisha kwake) , na ukapata evidence kwamba alichukua halafu unamshitaki kwa makosa hayo hayo.

  Ukiwa na akili timamu utachagua 1 au 2?
   
 17. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #17
  Jul 10, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu umenichekesha sana, hata mimi namfahamu huyo!
   
 18. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #18
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Kiongozi maundumula huyo namba nne anastahili kufungwa.............kwanza ili kuthibitisha kwamba ni mwizi anatumia abbreviation ya majina.
   
 19. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #19
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Henge huyo jamaa ni noma sana yaani anastahili kifungo. Kutumia vifupisho ni dalili ya wizi
   
 20. P

  Pambe S Member

  #20
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kabla ya speaker kuweka hadharani ushahidi wa Mnyika kuhusu yule MZINZI WA IGUNGA,aweke hadharani kwanza ule ushahidi wa Lema juu ya Pinda kusema uongo bungeni juu ya mauaji yaliyofanywa na polisi kule Arusha.
   
Loading...