Kura za siri kwa wabunge ndiyo demokrasia ya kweli. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kura za siri kwa wabunge ndiyo demokrasia ya kweli.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by yaya, Jul 11, 2012.

 1. y

  yaya JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu, nimekuwa nikifuatilizia mijadala ya bunge kwa muda mrefu sasa, nimegundua baadhi ya wabunge huongea kwa hisia za dhati, lakini ni waoga katika maamuzi kwa kura, hususan wanapotakiwa kupiga kura ya ndiyo au hapana.

  Ili kuondoa uoga na unafiki, nadhani ni wakati muafaka bunge la TZ lika-introduce electronic system ya upigaji kura.
  System hiyo ambayo hutumika sana katika mabunge ya nchi zilizoendelea inakuwa na big screen mbele na kila mbunge anakuwa na nobs (vitufe) tatu za "ndiyo", "hapana" na "abstain". Ambapo kura za majibu yote matatu huonekana bila kuchakachuliwa katika screen.

  Kwa sababu hiyo kupita au kukwama kwa muswada wowote itaonekana na kila anayeweza kuona, na kuondoa ujanja ujanja wa kusema "waliosema ndiyo wameshinda hivyo umepita"
   
 2. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naunga mkono hoja hatutaweza kupiga hatua kama tutaendelea na mfumo huu. Mbona kwenye chaguzi zingine kura ya siri inaruhusiwa? mbona nchi za wenzetu wanatumia mfumo mzuri sisi tunashindwa kubadilisha tu?
   
Loading...