Chadema Yakiri kufata Mfumo Kristo Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema Yakiri kufata Mfumo Kristo Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zomba, Jul 12, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Katika hotuba iliyosomwa na kambi ya upinzani na Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee, amekiri wazi wazi kuwa CHADEMA wanaongozwa na Mfumo Kristo na ameahidi [FONT=&amp]"ipo siku tutaifikia Nchi ya Ahadi!".

  Ikumbukwe kuwa mafundisho ya Kikristo yanasema [/FONT]"Safari ya wana wa Israeli toka Misri hadi katika nchi ya ahadi, tunaweza kuifananisha na maisha ya kiroho ya kanisa, au tuseme maisha ya kikristo."
  Source:
  http://www.mwakasege.org/mafundisho/mtendaji/mtendaji-2.htm[FONT=&amp]

  Hayawi hayawi, yamekuwa! leo Halima Mdee kaamuwa kuyaweka wazi na hansard zimerikodi na hiyo hotuba hata humu JF ipo.

  Hakuna mafundisho ya nchi ya ahadi zaidi ya kufananishwa na maisha ya kiroho ya kanisa na ndiyo imani ya CHADEMA kama ilivyowasilishwa Bungeni.

  Nilikuwa sitaki kuamini kuwa Chadema ni kweli chama cha Kikristo kwa kuwa tu kina uhusiano na CDU lakini leo Halima Mdee kanihakikishia kwa hotuba yake rasmi bungeni.

  Waislaam kuweni macho sana na hiki chama kimekuja kwa nia moja tu, ipi zaidi ya aliyoiweka wazi Halima Mdee? kuwa
  [/FONT][FONT=&amp]"ipo siku tutaifikia Nchi ya Ahadi!"[/FONT][FONT=&amp].[/FONT]
  [FONT=&amp] Kauli hiyo katika mafundishao ya Kikristo inamaanisha kufikia "[/FONT]maisha ya kiroho ya kanisa, au tuseme maisha ya kikristo[FONT=&amp]".

  Ushahidi:
  [/FONT]
  http://www.mwakasege.org/mafundisho/mtendaji/mtendaji-2.htm[FONT=&amp]


  [/FONT]
   
 2. H

  Hute JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,053
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  sidhani kama tz kuna mfumo kristo, lakini kama ungekuwepo tungekuwa mbali, kwasababu siku zote mfumo islam ndo unaturudisha nyuma, watu hawapendi shule, watu wavivu wacheza bao kao yao kulalamika tu kuwa wanaonewa, wachawi wategemea chuma ulete, wazaaji ovyo na kushindwa kupeleka watoto shule kwasababu hawana pesa za kulisha wake zaidi ya mmoja na watoto rundo, matatizo kibao...laiti kama kungekuwa na mfumo kristo basi tz ingesonga mbele...lakini kwasababu ya pasuavichwa walalamishi waliojaa mno ambao hawachangii lolote kwenye nchi hii, basi tutashare poverty.
   
 3. M

  Mzeenani64 Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  una sera wewe,, uwe wa kikristo au kiislaam sisi daima tutakifagilia tu
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Zomba, soma gazeti la Habari leo Jumatano 11/7/12 pg 6. Au pata hansard bunge 10/7/12 kuhusu michango ya Mh Assumpta Mshama (CCM) Nkenge na Mary Mwanjelwa (CCM special seat) halafu utupe maoni yako.
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tunaongelea chadema na kutufikisha "Nchi ya Ahadi".
   
 6. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Aliyeshiwa sera Hukimbilia Udini. Ama kweli umewadhalilisha waislaam, tuseme katika mambo yote halima aliyo sema umeambua "nchi ya ahadi tu?".
  Kwa style hii bado unahitaji kusomewa dua ya kukurudishia akili ya mwanadamu.
   
 7. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kwanini ninyi ccm mnakimbilia kwenye udini, halafu we mtoa mada mie huwa nakuchora tu comments zako una roho mbaya sana za kutugawa watz.
   
 8. Jaffary

  Jaffary JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 758
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Huwa unaniacha hoi dogo! hii nayo ni issue ya kuanzishia thread? Unataka tujadilili nini kama si njia za kutaka ku-create disunity? I hate people who tried to use religion to implement their mission! Kukishakuwa na chuki kati ya mwislam na mkristo utafaidika na nini? Peleka upuuzi wako huko kwa walio kutuma!
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ni mimi au anaetaka kutufikisha "Nchi ya Ahadi"? unajuwa mafundisho ya Ukristo kuhusu tamko hilo? kama hujui fata link:

  Kuiteka Nchi ya Ahadi
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kabla hujanishutumu mimi ungemwabia Mbunge wenu Halima Mdee wa CHADEMA aifute hiyo kauli inayoashiria kutugawa, hakuna Muislaam ataekubali kupelekwa "Nchi ya Ahadi" kwa maana kamili ya mafundisho ya Kikristo.

  Nna uhakika Halima Mdee alikuwa anafahamu anachokiongea na hajakurupuka!
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hata mimi binafsi huwa naitumia Biblia kutilia uzito hoja zangu nyingi tu, na hata humu JF utazikuta, tena leo nilichangia kwa kutoa mstari wa Biblia katika moja ya nyuzi humu JF.

  Nna uhakika Halima Mdee anaelewa alikusudia nini na wewe unaelewa alikusudia nini. Kama kuna maana nyingine katika mafundisho ya Kikristo, zaidi ya alivyoelezea mchungaji kwenye link hapo chini kuhusu kutufikisha "Nchi ya Ahadi" naomba ielezee.

  Soma zaidi: Kuiteka Nchi ya Ahadi
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Tatizo lako lote limeanzia hapa; wewe ukisikia mtu anasema "yule ni Msamaria Mwema" basi unaona mfumo Kristu! Ukisikia mtu anasema "Nami nakaza mwendo" unafikiria Mfumo Kristu. "Nchi ya ahadi" ni msemo wenye kumaanisha "neema". Suala la nchi ya ahadi (promised land) halipo kwenye Biblia tu hata kwenye Quran linapatikana. Suts ya 5:20, 21 inaeleza hili na kutumia msemo kama huo wa "nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni".

  Hivyo kusema "Promised Land" ni msemo wenye kuashiria uzuri na neema, mafanikio, utulivu na kheri tupu. Na ilikuwa inahusiana na watu kutoka utumwani Misri kwenda nchi ya Kanaani. Na hili wazo lilitangulia Ukristu kwa miaka mingi tu. Wazo la "nchi ya ahadi" limetangulia Ukristu na Uislamu hivyo kudai kuwa mtu akilisema sasa anamaanisha wazo la Kikristu si kweli. NI wazo lenye msingi wa dini ya Kiyahudi.
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mimi sikuja hapa nikwambia soma huku au kule, nimekuwekea hapa vitu wazi kabisa na vinamaanisha nini kwa mafundisho ya Kikristo. Na wewe weka yako tuone yanafundisha nini. Tuwe wawazi!

  Mimi simlaumu Halima au CHADEMA namsifu kwa kuwa Mkweli na muwazi na "ukweli ukidhihiri uongo hujitenga".
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Unamaanisha huyo mchungaji niliyeweka mafundisho yake anadangaya? Kuiteka Nchi ya Ahadi
   
 15. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hilo ngumu kuliongelea?
  Najua kua ni chungu ngumu kumeza,lakini ni dawa....
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Msome Mchungaji maarufu huyu inavyoichambuwa maana ya "Nchi ya Ahadi", na si huyo tu, ntakuletea wengi sana ambao hakuna anaechakachuwa kama ulivyojaribu wewe. soma:

  Maagizo haya yanafanana sana na hali ambayo ipo katika kanisa sasa, katika maisha ya watu wa Mungu. Lakini kabla hatujalijadili hili; na tuyatafakari maagizo ya Bwana kwa Yoshua.

  Ukisoma historia ya wana wa Israeli, utaona ya kuwa, walikaa Misri katika hali ya utumwa kwa muda wa miaka mia nne.
  Kwa sababu ya mateso makubwa waliyokuwa wanapata, walikuwa wakimlilia Mungu wao usiku na mchana. Siku moja Musa alipokuwa akichunga kundi la kondoo la Yethro mkwewe, Mungu alizungumza naye.
  "Bwana akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao; nami nimeshuka ili niwaokoe na mikono ya wamisri, niwapandishe kutoka nchi ile, hata nchi njema, kisha pana; nchi ijaayo maziwa na asali; hata mahali pa Mkaanani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi" (Kutoka 3:7,8).
  Hiyo ndiyo nchi ambayo Bwana alikuwa anamwambia Yoshua awapeleke wana wa Israeli. Na alimwahidi jambo moja kubwa sana, nalo ni hili:
  "KILA MAHALI ZITAKAPOPAKANYAGA NYAYO ZA MIGUU YENU, NIMEWAPA NINYI, kama nilivyomwapia Musa" (Yoshua 1:3)
  Ingawa Bwana alikuwa amekwisha wapa wana wa Israeli nchi, na kuwatajia maeneo yenyewe na mipaka yake, bado KUMILIKI KWAO NCHI HIYO YA AHADI kulitegemea sana jinsi ambavyo wao wanachukua hatua na kuweka nyayo za miguu yao na kutembea juu nchi hiyo.

  Source:
  Kuiteka Nchi ya Ahadi
   
 17. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu,unapika MAWE hapo.. Alibishana na mwalimu wake wa STD 1, kuwa hajuiila yeye ndiye mjuaji, utamuweza wewe leo?
   
 18. F

  FJM JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Corrections: Umekuja hapa kuweka cheap spinning for politcal purposes. Ungekuwa muwazi kama unavyodai ungeweka michango ya hao wabunge niliokuwambia. But you didnt becuase you are only interested in one thing - gutter politics!
   
 19. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #19
  Jul 12, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Tunatakiwa kufuata mfumo gani?
   
 20. F

  FJM JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hivi unafahamu ukristo ulianza lini? Hayo uliyoandika unajuwa yalitoka kipindi gani na watu hao walikuwa wanafuata dini gani?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...