Hivi utendaji kazi wa wabunge wa magamba unategemea homa za vpindi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi utendaji kazi wa wabunge wa magamba unategemea homa za vpindi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Salary Slip, Jul 11, 2012.

 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,042
  Likes Received: 37,840
  Trophy Points: 280
  Ukifuatilia mijadala inayoendelea pale mjengoni utagundua kuwa kuna baadhi yao hasa wale wa magamba uchangiaji wao unatokana na homa za vipindi na si kusukumwa na kile wanachokiana ktk ile bajeti husika.Yaani kwa kifupi wamemtelekeza kabisa yule aliyewatuma na wao kinachowaongoza ni joto la mwili kwa siku husika.
  Siku ukimsikia mtu anaongea kwa mikwara mingi tena ya kuzuga kwa mfano utasikia leo hapa patachimbika n.k basi ujue siku hiyo homa imepanda.Siku akiingia homa iko chini utasikia naunga mkono hoja kwa asilimia mia mbili kanakwamba bajeti nzima imependelea jimbo lake.
  Kuna wengine siku homa ikipanda basi siku hiyo utarajie kusikia mipasho kama waimba taarabu.Yaani wanageuza pale mjengoni kama the comedy show.
  Ukiachilia mbali hao wachangiaji hata wale waongoza show(the comedy show) nao mambo ni yale yale.Wanatoa maamuzi ya ubabaishaji ambayo wakati mwingine hupandisha homa hata za wale wasiohusika.
  Siju nini hatima yetu kama taifa kwa kweli!
   
 2. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,042
  Likes Received: 37,840
  Trophy Points: 280
  No comment.
   
 3. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...wameamua kujitoa akili tu,na 2015 ndo watajua ubaya wa mtu mzima kujitoa akilili...
   
 4. UPIU

  UPIU JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 602
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu Invisible jana Ben S, alieleza kwamba kuna watu wanashusha hadhi ya JF, kutokana na post zao kama hii ambayo ilipaswa kuwekwa kwenye Facebook page yake, lakini wanaforum wanazileta huku bila kujali ni greatthinker's zone. wasituharibie forum kwa post za kitoto.
   
 5. T

  Tanganyika2 Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ijumaa tarehe 13 Julai 2012 kuanzia saa 4:00 asubuhi (10.00 Hrs EAT) Taasisi ya Raia ya Haki za Kisiasa na Mwenendo wa Bunge (The Civil and Political Rights Watch) itatoa taarifa juu ya tathmini ya Uongozi wa Bunge kwa mwaka 2011. Tathmini hii inaangalia utendaji na ufanisi wa viongozi wa Bunge, Spika, Naibu wa Spika na Wenyeviti wa Vikao vya Bunge. Tathmini hii imetumia dhana na zana za mfumo wa Uwajibikaji kwa Jamii (Social Accountability Monitoring) kama unavyotumiwa Afrika Kusini kupima vigezo vitano vya kuongoza vikao (Usikivu kwa wajumbe; Kuzingatia kanuni; kuzingatia hoja; Kukwepa Ushabiki; na Upendeleo kwa wajumbe).

  Hii ni tathmini ya kwanza kabisa kufanyika Tanzania na kuwa itatumika kama nguzo ya kupima muelekeo wa utendaji na ufanisi wa viongozi wetu wa Bunge kwa miaka ijayo. Waandishi habari wote mnakaribishwa (Source: Marcossy/Katulanda 10/7/2012) .... Nategemea utapata majibu huko.
   
 6. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,042
  Likes Received: 37,840
  Trophy Points: 280
  Sema kama umeguswa.
   
 7. makoye78

  makoye78 JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 670
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Magamba wengi wao ni wapumbavu! Wanafanya kazi si kwa mujibu wa taratibu zilizopo, bali kwa kusoma alama za nyakati. Kazi wanayo 2015!
   
Loading...