Fisi akiwa hakimu mbuzi hana haki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fisi akiwa hakimu mbuzi hana haki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sammosses, Jul 11, 2012.

 1. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kitendo cha jeshi la polisi kutuhumiwa kwa kuhusika na kitendo cha kumteka Dr. Ulimboka na jeshi hilo kuunda tume ya kuchunguza tuhuma hizo ni kitendo cha kukandamiza haki za msingi za Dr huyo.Haiwezekani kesi ya mbuzi ukampelekea Fisi na mbuzi huyo akasalimika.Hali hii haikubaliki kwa nchi inayojinadi inafuata misingi ya utawala bora.Kitendo cha cha ACP Msangi kutuhumiwa na kuteuliwa kuwa kiongozi wa tume hiyo ya polisi kuchunguza tukio hilo ni upotoshaji wa makusudi na ukandamizaji wa haki kwa mjeruhiwa.Tunaomba serikali kupitia wizara yake ya mambo ya ndani ikemee na kuvunja tume hiyo na kumuonya kamanda wake wa kanda maalumu kuacha ushabiki katika afya ya raia asiye na hatia.
   
Loading...