John Heche akwea pipa kuelekea nchini Moroco, Kuhutubia mkutano kesho

Nyahende Thomas

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
211
104
Ndg wanaJF,
Taarifa nilizopokea hivi punde ni kuwa Mwenyekiti wa Taifa, wa Baraza la vijana Chadema kamanda John Heche amekwea pipa jioni hii kuelekea nchini Moroco kuhudhuria kikao cha bodi ya Freedom Forum For International Young Democratic Union, uliopangwa kufanyika kuanzia kesho tarehe 12/07/2012.
Heche ambaye ni mjumbe wa bodi ya taasisi hiyo atawasilisha mada juu ya unyanyasaji unaofanywa na vyombo vya dola kudumaza demokrasia pamoja na mauaji holela ya raia. Case study itakuwa mauaji ya Igunga, Arumeru,Arusha na Nyamongo.
Pia atazungumzia vitisho vya kuuawa kwa viongozi wa Chadema pamoja na kutekwa kwa Dr. Ulimboka.
Naomba kuwasilisha kwenu wadau.
 
Afadhali ni Moroco. Ingekuwa ni itali kuna watu wangechangia kidini sana hapa!
 
Ni morroco sasa! Chemeni sasa.

Hapa akutakuwa na maneno yeyote.
 
Penye Ukweli uwongo hujitenga, wataongea nini ili hali mkutano Morocco!
 
Kikubwa ninachopongeza ni kupelekwa kwa damu changa maana wangekuwa dhaifu saa hz wanagombea tiketi,ila na uozo wao utajulikana dogo kapewa data zote aaaahhaaa teheteheeee.... Watu makini mpaka vijana makini.
 
Ajiangalie tu huko, wasije wakamuharibu. Unajua tena warabu wakiona kijana kavimba vimba,lazima akaribishwe faragha.
 
Back
Top Bottom