Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naomba wanaofahamu wanijuze. Mimi nimezoea kuona mtu anaomba mwongo au taarifa anawasha mic na kusema mwongozo wa spika au taarifa. Lakini kwa sasa naona kama mtu unatakiwa usimame hadi spika au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
muda huu wa saa sita na dkk 50 mbunge wa iramba mh. Nchemba amemshika pabay mh. Mnyika bungeni. Nchemba baada ya kuchangia ktk wizara ya maji, amemkumbusha mwenyekiti wa bunge mama mhagama kuwa...
3 Reactions
142 Replies
13K Views
Wakuu Salama? Kuna suala leo limenitatiza sana ingawa limekuwa likijotekeza mara kwa mara katika mazingira fulani fulani Habari kubwa kwenye magazeti almost yote ya leo ni Juu ya Katibu Mkuu wa...
4 Reactions
40 Replies
5K Views
WanaJF, nimesoma kwenye gazeti la mwananchi leo kuwa humumu ya Prof. Mahulu ile ya jengo la ubalozi wa Italy ni leo. vipi kuna mwenye update?
0 Reactions
10 Replies
5K Views
..jamani tukisema Zanzibar wanatunyonya Tanganyika mnadai tunachonga sana. ..lakini kuna bil 4 zimetengwa kwa ajili ya Makamu wa Raisi, wanasema kwa matumizi "yake" ya kawaida. ..huyu ndiye...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Hivi ni lini ccm watajifunza siasa sitahimilivu, siasa safi, siasa bora na siasa zenye kupingana kwa hoja? Tufike mahali tukue,tupanuke kimawazo na tukomae kifikra..tanzania ni yetu sote.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi ni jeshi linalolinda usalama wa raia na mali zake, na ieleweke kuwa dhamana waliopewa inatokana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Inapotokea raia mmoja anaona maisha...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Najiuliza sana hivi ni ,kweli wabunge wa CCM wote wanaitetea serikali kwa dhati? Hawayaoni ambayo serikali inachemsha sana. Na hawasomi dalili zozote zile mbele? Bora mbunge wangu huwa anapiga...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KILA KONA YA JIJI LA DAR ES SALAAM, ni uchafu, uvundo na harufu mbaya...je tumekosa ubunifu ni jinsi gani tunaweza kutatua tatizo hili? je ni uzembe wa viongozi wetu au? mbona kuna vikao vingi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF nimefurahia sana majibu ya Dr. Slaa kwa polisi 1. Chadema hawana imani na jeshi ya police 2. Polisi waseme kwa nini mara zote wapinzani wanapolalamika polisi hawapatiwi majibu i.ekupigwa...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Katika taarifa za leo magazetini nimeona kuwa madaktari wamefukuzwa, lakini niliposoma kwa umakini kumbe ni madaktari ambao wapo hospitalini kujifunza kwa vitendo. Na ndio hao waliofukuzwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu mliopo Dodoma tulizoea sherehe baada ya kupitisha bajeti miaka ya nyuma na huwa sherehe wanafanyia dodoma Hotel tena ilikuwa kila wizara vipi bado wanafanya sherehe baada ya kupitisha...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Profesa maghembe waziri wa maji alisema bungeni jana wakati muafaka umefika kwa wizara yake kuanzisha tan-water.. Kwa ajili ya kurahisisha, kuharakisha usambazaji na utekelezaji wa miradi ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Bonyeza vidio no 1 Video – UMUHIMU WA KUWA NA NCHI NA KUIPENDA – UAMSHO MFENESINI | Mzalendo.net Bonyeza no 2 Video – UMUHIMU WA KUWA NA NCHI NA KUIPENDA – UAMSHO...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mtazamo wangu, kwa kitendo kilichofanywa na kamati kuu ya chadema kuondoa kipengele cha kampeini katika uchaguzi ndani ya chama hicho, kikilenga kuondoa au kupunguza tatizo la rushwa hapa...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Barney Frank awa mbunge wa kwanza kufunga ndoa ya jinsia moja Massachusetts-Marekani Pich ani ni mbunge wa Massachusetts Barney Frank (kulia) na mke wake Jim Ready
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumeshuhudia mateso makali na ya kinyama aliyofanyiwa Dr Ulimboka, alitekwa akapigwa kwanza ndani ya gari na baadaye katika Msitu wa Pande, ambako ndiko alikokutwa asubuhi akiwa hoi bin taaban...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
BILA TANGANYIKA HAKUNA MAENDELEO. Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
781 Views
Barua ya ccm wilaya ya Moshi mjini ya tarehe 8/7/2012 yenye kumb na CCM/MOS/VOL.102/FOLIO 230/2012 inasema YAH: MGOMO WA USAFIRISHAJI ABIRIA KUANZIA TAREHE 9/7/2012 Rejea makubaliano ya kikao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inasikitisha kusikia tayari wakuu wa wilaya ambao ni mkada wa chama cha mapinduzi tayari wameshaanza kuichakachua mpango wa ukusanyaji wa maombi ya katiba mpya. Wanawapanga watu wa kuongea na...
0 Reactions
2 Replies
947 Views
Back
Top Bottom