Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mara kwa mara tunasikia "ushujaa" wa Nyerere kuwapinga Wazungu kama vile kuwakatalia kuchimba madini kwa madai ya kuwa alikuwa akihifadhi rasilimali za nchi hii kwa vizazi vijavyo na alikuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Na sisi tuko pembeni tu tukiwasukuma wenzetu wajitoe muhanga bila kuogopa kuwapigania wanyonge. Ni nani atakaebisha kuwa CHADEMA ni chama cha kufata upepo tu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Umesha wahi kujiuliza, ni kwa vipi umenufaika na RASLIMALI ZA ICHI YAKO? NB: Mpiga kura ndiye mwenye uchungu na Serikali ambayo ndiye msimamizi wa Raslimali zetu...
0 Reactions
2 Replies
939 Views
The letter to President Kikwete follows: Dear President Kikwete, I am writing to express my deep dismay that Tanzania has permitted the National Iranian Tanker Company (NITC), to reflag at least...
0 Reactions
1 Replies
860 Views
Oakland, CA - A new report by the Oakland Institute, Lives on Hold, exposes the consequences of Iowa-based AgriSol Energy LLC's plans to lease more than 800,000 acres in Tanzania. The project...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zangu mapambano kila kona mambo yanakwenda vizuri sana huku nje.Sasa tumeanza kukandamiza kwenye vyombo vya habari huku nje sasa hivi.Hii redio ni maarufu sana inayozungumzia siasa hapa...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Bonyeza Souti DW Redio AUDIO | DW.DE Mchakato wa kukusanya maoni kuelekea katiba mpya unaendelea nchini Tanzania. Wananchi wa Tanzania watoa maoni yao kuhusu katiba mpya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kitendo cha serekali hii ya awamu ya nne kutenga bilioni nane kwa viongozi wastaafu wasiozidi kumi na kutenga bilioni 5 tuu kwa hospitali za rufaa ambazo zinawahudumia watanzania wote na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Madactari, Dr. Ulimboka anaendelea vizuri. Inasemekana Madactari wameendelea kupokea vitisho kwa njia ya sms. Mgaya (Katibu TUCTA) amesema wapo kwenye mchakato wa...
33 Reactions
348 Replies
35K Views
Posted on July 11, 2012 by zanzibaryetu Baadhi ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza kwa makini Katibu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja alipozungumza nao kuhusiana na Kikundi cha Watu kinachotaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ule mgomo wa wa wabunge wa CCM unaendela licha ya mkwara wa spika kuwa hakuna kutoka buneni bila idhini yake na waziri mkuu. Sasa bajeti zote zinajadiliwa na kambi ya upinzani na amebaki Lukuvi tu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunategemea tamko lenu cwt kama serikali haiongezi mshahara tugome acha mgomo baridi tuliofanya zamani,tunasubiri kwa hamu sana.
0 Reactions
63 Replies
5K Views
Soma hii, ndio maana wa Kawe tulimchagua kwenda bungeni sio wengine wanachagua waganga wa kienyeji!! Hunting firm illegally leased block to uranium miners` By Patrick Kisembo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chama cha Mabwepande kimezidi kuumbuka safari hii ni kwenye mgomo wa wasafirishaji mkoani Kilimanjaro. Jisomee mwenyewe Wana bodi asalaam aleykum Tangu juzi Ijumaa Mji wa Msohi umekumbwa na...
4 Reactions
121 Replies
11K Views
MBUNGE wa Mbinga Magharibi Kepteni mstaafu, John Damian Komba anadaiwa kuwa yuko hoi nchini India alikokwenda kwa ajili ya matibabu, Risasi Mchanganyiko lina mkoba uliojaa habari hii. Kwa...
0 Reactions
113 Replies
11K Views
Siwezi kuamini.Kweli Tume iliyosheheni Wasomi wa Sheria wabobezi inaweza kucheza mchezo mchafu kama huu?! Ni hivi,leo asubuhi nimepokea ujumbe kwenye simu yangu ya mkononi. Ujumbe ( ingawa siwezi...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Hoja ya j.makamba imemezwa, wajane wana nyanyasika, kigamboni imekufa nakuingia mdudu hatari wa siasa, magari yaliyotolewa na world bank kwamsaada wa kushuhulikia mambo ya ardhi ymeshindwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Closed
Wana JF zile siku saba alizopewa mheshimiwa John John Mnyika kuwasilisha ushahidi wa kuonyesha kuwa Mwigulu Mchemba alihusika na EPA kule BOT zilishapita, je amewasilisha ushahidi huo? na je...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Highness Kiwia Vs. Kibajaji aka. Kudadadeki....Niseme niseme? Member of Parliament CV GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: Highness Middle Name: Samson...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom