Wabunge wa CCM wanapojadili hoja bungeni wanajua hali ya nchi ilivyo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa CCM wanapojadili hoja bungeni wanajua hali ya nchi ilivyo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Emashilla, Jul 12, 2012.

 1. Emashilla

  Emashilla Senior Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hali ya nchi kwa sasa ni ya mabadiliko ya fikra na matarajio ya walio wengi. Watanzania wamechoka kusikia na sasa wanataka vitendo vitakavyoinua hali ya maisha ya Wananzania. Amani ya kisiasa ilete amani ya kiuchumi. Ninakerwa na siasa za majigambo katika bunge la Tanzania.
   
 2. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Ccm ni mavi kabisa!
   
Loading...