Kutokomaa kisiasa kutaiua CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutokomaa kisiasa kutaiua CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by security guard, Jul 10, 2012.

 1. s

  security guard JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 80
  Mengi yamesemwa kuhusu Chadema chama ambacho kilionekana kuwa kingeleta upinzani wa kweli kwenye ulingo wa siasa.
  Lakini baada ya mambo kadhaa ya yaliofanywa na Chadema ambayo yamedhihirisha dhamira yao ya kutaka kutaka kuongoza nchi kwa kutumia mbinu chafu.

  Nyingi zimeshajulikana nisingependa sana kuzirudia maana zinajulikana haswa lile la kushawishi madaktari wagome hata kwa kutumia madaktari wasioajiliwa na wanachama wao wakashawishi mgomo…..

  Na sababu kuu ya mgomo kwa nini wabunge wanapokea pesa nyingi kulko wao(Ikumbukwe katika wabunge hao kuna wengine wa Chadema ambao nao wanapokea pesa na kila kitu cha bunge na hawasemi kama pesa hizi nyingi)

  Sasa basi kumekuwa na mtindo wa wana Chadema kupita mitaani na kutaka kununua mashina ya CUF ambayo kwa sasa yanaonekana hayana uhai..wana Chadema hao ambao wanapita usiku na wote kama kawaida yao wa Kaskazini yaani ukikutana nao utasikia INji hii (badala ya nchi hii).

  Nilibahatika nao kukutana nao Yombo Kiembe samaki wakitaka kununua shina kwa laki moja na kushawishi wanachama wa CUF wajiunge,kwa hili hawakufanikiwa ila huu mchezo mchafu hautowasaidia…CUF nayo inabidi kutambua kuwa wilaya ya temeke watauzwa kwa shs 100,000/- tu.

  Hii mbinu ni moja ya mapungufu ambayo yataimaliza Chadema kabla ya 2015 kwani wameshindwa kuzungumza sera zao na sasa wanatumia pesa ambazo hazijulikani zimetoka wapi……..
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,545
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Hii single yako ni dhaifu,haiuziki labda kwa mataahira wa hapo Lumumba.
   
 3. m

  muchetz JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 496
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  How much are you guys really paid? Im begining to be tempted.!!!!!
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,195
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Umetengeneza Insha ndefu kwa kuungaunga vibwagizo vya propaganda vilivyotumiwa zamani na wenzako magamba lakini umesahau kutuwekea reference ulikocopy hii literature yako
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kajipange upya ndugu yangu. Naona wewe umeshaiweka Chadema kwenye past tense. I have news for you.
  Chadema is the future.
   
 6. Kijana leo

  Kijana leo JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,872
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  kina wa2 wengine wamekuja kuharibu cku za watu humu. Hivi siku hizi mwanachama au matawi yananunuliwa kwa lipi hasa? Watu wanaona na wanajua nini cha kufanya na hakuna hoja nyingine zaidi ya ukabila wa chama? Kuwa creative tafuta nyingne basi.
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  siasa haina principle kama za hiyo kazi yetu. Kama huielewi lazima utaropoka kama security guard
   
 8. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  security guard wewe yani ulivyojua kuandika umekuja kufanyia humu mazoezi mkuu?Pole sana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  security guard Alokutuma na kukudanganya wanatumia mbinu chafu na hawajakomaa basi subiri majibu yake 2015, au mr. Dhaifu akisalenda before hapo!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hope aliiandaa na kupitishwa na nape!
   
 11. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Join Date : 27th September 2011

  Posts : 16

  Rep Power : 344

  Likes Received 1

  Likes Given 0


  Ni muda mrefu yupo humu javini but ndio uwezo wake umeishia hapo
   
 12. B

  Bubona JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Umaskini wa akili ni mbaya sana!
  Yaani umetumia muda mwingi ukiandaa propaganda ambayo mwisho wa siku ni wewe na wenzako wenye akili kama wewe ndio mnaoweza kuona mashiko katika hoja hiyo! Poleni sana!
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Inasikitisha sana kuona hadi leo watu mna propaganda za namna hii!?

  Pole sana,kwa mtindo huu mtaishia hivyo hivyo, zaidi ya hapo mtajifunza uchawi kama bado hamjafanya hivyo tayari.

  Endeleeni kuipamba CDM, najua TLP,CUF,UDP,SAU,NCCR haziwezi pigwa mawe! IF YOU CAN'T DEFEAT THEM JOIN THEM! angalia msijepata stroke zisizo na msingi kisa kuiwaza CDM
   
 14. IsayaMwita

  IsayaMwita JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 1,123
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Bado hajajua kudanganya kama zomba, maralia sugu, pia uwezo wake wa kujieleza(poor reasoning),
   
 15. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #15
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kwa uandishi huu bila shaka mtoa mada ana kadi ya thithiemu. Propaganda za gazeti la uhuru!!!!
   
 16. H

  Honey K JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umepiga kichwa cha nyoka mwanawane!! CHADEMA IS NO MORE!!TUANDAE MAZISHI TU!

   
 17. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #17
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,784
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  nipeni inji hii
   
 18. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Msimlaumu!! Hii ndiyo ajira yake ili walau watoto waende choo!!
   
 19. Jembe Ulaya

  Jembe Ulaya JF-Expert Member

  #19
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 27, 2008
  Messages: 456
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jasusi, CHADEMA is the future kama tu wakiweza kuja na mpango mkakati wa uhakika wa kuweza kulinda kura 2015. Kwasababu mwisho wa siku karata ya mwisho ya CCM ni kuchakachua na kulazimisha ushindi hata kama asilimia kubwa ya watu wataikataa.
   
 20. Jembe Ulaya

  Jembe Ulaya JF-Expert Member

  #20
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 27, 2008
  Messages: 456
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ningekuwa daktari ningekupiga sindano ya sumu ufe maana unawadhalilisha madaktari na kuwafanya hawana akili yao wenyewe ya kufikiri. Watanzania siku hizi wanajua wanachokitaka. Hawahitaji mtu wa kuwasemea kinachowasumbua rohoni. Wanachotaka ni watu wakuendeleza kupiga kelele kili kinachowagusa hadharani na bungeni na ndio maana CHADEMA inapendwa.

  Achana na propaganda zilizopitwa na wakati, pesa ya CHADEMA inafahamika inatoka wapi. Ni michango ya wapenzi na ruzuku inayotoka Serikalini. Tofauti yake na CCM ni kwamba pesa ya CHADEMA haichakachuliwi ndio maana inaweza kufanya mengi. Wake up and smell the coffee.
   
Loading...