BBC: Dr. Ulimboka yuko ICU (yuko kwenye koma) anasaidiwa na mashine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BBC: Dr. Ulimboka yuko ICU (yuko kwenye koma) anasaidiwa na mashine

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 5, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,523
  Trophy Points: 280
  Source BBC na Omary Mutasa kutoka Afrika Kusini

  Ni wazi kuwa hali ya Dr. Steven Olimboka ni mbaya na kalazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi na anapumulia mashine, hajitambui wala haongei.

  Na kulingana na bbc kulingana na hali yake ilivyo hakuruhusiwa na familia yake kumwona na hawakutaka kuongelea swala la kutekwa na kauli ya JK kukana kuhusika.

  Wakati huo huo jeshi la polisi limetoa kauli hii

  ""Upelelezi wa Polisi Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova amesema jopo la upelelezi aliloteua hivi karibuni kushughulikia tukio zima la kutekwa kwa Dk Ulimboka litaendelea na kazi yake hadi mwisho na hatasikiliza kelele za wanaodai kutokuwa na imani nalo. Alisema madai yanayotolewa na watu mbalimbali akiwemo Dk Ulimboka mwenyewe kuwa hana imani na jopo hilo hazitabadili chochote kwani kinachofanyika hivi sasa ni kazi ya kawaida ya upelelezi ya jeshi hilo... "Hao wanaosema hawana imani na jopo hilo hawana hoja isipokuwa waliache jeshi la polisi lifanye kazi yake."""

  Concern
  Ninashaka hapa hivi uchunguzi wa jeahi la polisi kama mimi mtendwa sitaki kwanini unalazimisha wakati sina imani na ulichokiunda na cha ajabu nawe unanambia hata kama hutaki sie tunaendelea.

  Nini kipo nyuma ya pazia la polisiiiiiii???
   
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Unatuchanganya na taarifa zako nusu nusu...........
   
 3. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  eeh Mola mbariki mja wako!
   
 4. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Duh, Mungu atusaidie na kumponya ndugu yetu!! I don't trust these guys from SA.
   
 5. Imany John

  Imany John Verified User

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  "BBC Swahili~ Mwenyekiti wa chama cha
  madaktari nchini Tanzania
  Steve Ulimboka anaendelea
  kupokea matibabu katika
  hospitali moja mjini
  Johanesburg Afrika Kusini alikolazwa katika chumba cha
  wagonjwa mahututi.
  1 hour ago"

  Mwisho wa kunukuu

  Source:BBC PAGE FB.
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Wewe mbona ueleweki kila muda unakuja na habari za kushtua auminiki jinsi unavyoleta habari inawezekana unaongeza na yako, jana tumeambiwa anaendelea vizuri na figo zake zimeanza kufanya kazi.

  Wengine wanasema Dr Ulimboka yupo Ujerumani.
   
 7. CHABURUMA

  CHABURUMA Senior Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwenyezi mungu msaidie dr Ulimboka.
   
 8. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Tuzidi kumuombea
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hizo nilizokuwekea rangi nyekundu ndio nini? fafanua.
   
 10. Imany John

  Imany John Verified User

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Haitakusaidia,jadili mada we mang'aa.
   
 11. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,523
  Trophy Points: 280
  Aksante mkuu kwa kuliona
   
 12. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ritz, fahamu kwamba ya jana si ya leo. Now yuko ICU, tumwombee.
   
 13. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Inatisha na kusikitisha! Doa la wazi kwa serikali ya dhaifu hilo. Kwa mbaaali naiona The Hague ndani ya TZ.
   
 14. MSOROPOGAS

  MSOROPOGAS Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Dr ulimboka amewekewa mashine ya kupumulia na yuko mahututi (koma), mwandishi alimtembelea SA.
  Source: BBC idhaa ya kiswahili
   
 15. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  JK na Pinda wajiandae kupokea samansi toka The Hague.
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  habari imeeleweka,habar ziko 2,ya kwanza inahusu hali ya ulimboka south afrika na ya 2 inahusu kauli ya jeshi la polisi
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,612
  Likes Received: 82,206
  Trophy Points: 280
  Hii (kama ni kweli) inakatisha tamaa kusema kweli...Namuombea Mungu amponye.
   
 18. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #18
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Habari hii inaumiza sana moyo wangu lkn serikali inafurahi sana
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  tell us whom u trust mdau
   
 20. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Inaumiza na kusikitisha sana!!!!
   
Loading...