Tutafanyaje Kuondokana Na Utegemezi Huu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutafanyaje Kuondokana Na Utegemezi Huu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Expedito Mduda, Jul 11, 2012.

 1. Expedito Mduda

  Expedito Mduda JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Katika hali ya kawaida, Watanzania tumepoteza mwelekeo kabisa. Hii inatokana na ukweli kuwa hata wabunge tuliowatuma kwenda bungeni ili kujadili mambo ya msingi ya ujenzi wa njia msingi za kuleta maendeleo wanabishana bila sababu za msingi. Wabunge wa chama cha babu wanazuia kabisa hoja yoyote wanayoona inaletwa bungeni ili iwafungue wananchi waone jinsi raslimali za zinavyoporwa na tabaka la viongozi. Nafikiri ni busara kwa wabunge hawa kubadili mtindo wao wa kutetea maslahi yao na badala yake wajikite kutetea maslahi ya jumla.
   
 2. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,291
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  chagua chama mbadala 2015,
   
 3. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hilo ndio suluhisho!!
   
Loading...