Madaktari bingwa Muhimbili waanza ku-resign! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari bingwa Muhimbili waanza ku-resign!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Electron, Jul 11, 2012.

 1. Electron

  Electron Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tetesi ambazo bado naendelea kuzifuatilia ni kuwa specialists doctors wa muhimbili wameanza ku-resign kuonyesha kutoridhishwa kwao na mwenendo mzima wa jinsi serikali inavyoshughulikia swala la madaktari hususani kuwafukuza na kuwafutia usajili intern doctors... nimetaarifiwa kuwa mpaka sasa Daktari bingwa wa upasuaji watoto (paediatric surgeon) pekee aliyepo muhimbili, Dr. Mng'ong'o ameamua kajiuzulu......

  Aidha specialists wengine bado hawajafanya hivyo, wako katika mgomo baridi.......

  Tusubiri tuone how the event will unfold
   
 2. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  The rise and fall of Mali empire, Mwanemutapa, Soghai, Roman........and at last we are to witness the fall of JK regime.
   
 3. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Yuko kwenye uzazi wa mpango Uk, lengo ni kujazia uzao wa wale wanaokufa kwa kukosa huduma za ma dr..what a pit jk!
   
 4. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Je hiyo ni trend ambayo itafuata madaktari wengine kujiuzulu au mng'ong'o ana surrender kwa kusalitiwa na wenzake?
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Yupo UK najifunza kutumia contraceptive pills
   
 6. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Shame upon him!
   
 7. Electron

  Electron Member

  #7
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu only time will tell, however yawezekana wengi wakahofia, yahitaji kujipanga, although wana market sana in the southern African countries
   
 8. Kiwi

  Kiwi JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Tawala zote za kidhalimu ambazo hazikuwajali watu wake hatimaye zilifikia kikomo. Ninaamini ya kwamba udhalimu huu uliopitiliza wa serikali ya ccm chini ya jk umevuka mipaka yote.

  Haujali mtu yeyote, wanatumia mabavu na vyombo vya dola kuwadhalilisha watu wake, na dunia imekaa kimya! Hata hivyo wananchi ndiyo wenye kauli ya mwisho, na hili la madaktari sasa limegusa wananchi wote.

  Hakuna asiyejua nini kinaendelea. Hata wale waliokuwa wanaipigia debe serikali mmoja mmoja wanaanza kuelekea kubadili sauti zao. Ninaamini kwa pamoja tutaweza.

  Walio na masikio na wasikie sasa. Kilio chetu kimesikika na wakati wa mabadiliko ya kumkomboa mtanzania umefika!
   
 9. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  kama vipi njooni kiwanja tupige box..kwani kitu gani bana..
   
 10. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mungu awatangulie wote wanaotetea HAKI
   
 11. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  Mengine mengi yatafuata tu
   
 12. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  waakiwambia masharti ya misaaada Ohhhh!sisi hiyo haiwezekani ila pesa zao mnazipenda na ndiyo wamesponsor hiyo show:A S 465:
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hivi kwani ni waziri wa wanawake jinsia na watoto?.....au ni waziri wa afya?:sleepy:
   
 14. S

  Striker Searcher Member

  #14
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  The desperate government should confess for the incidences. Shame for JK.
   
 15. a

  afwe JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Nadhani ni jaribio ili ku-shake the dhaifu government
   
 16. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo hii movement ilikuwa kuondoa utawala? au ni kwa ajili gani. Nisaidie

  Kama ni kweli busara ni kuweka koti begani, stethescope mkononi nenda kijiweni. Muulize Dr Kibassa alishagoma tangu mwaka 2005 na aliamua kuwahudumia waTZ kutokea private, hakuna tatizo, kwani lazima public?
   
 17. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,188
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  A very nice move, let us wait a litle for mass resignation. Come one come all Dr.'s deserve a conducive working place and wage.......
   
 18. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Serikali dhaifu haiwezi kusimamia msimamo wake. Ili JK awe shupavu asikubali kurudi nyuma, akirudi mezani yeye ni dhaifu na amewaogopa madaktari.
   
 19. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,188
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Aaahhh... umeugusa moyo wangu kidato cha tatu hiyo. Qeen NZINGA NKUWU mitaa flani ya Congo. This is a practical version of it. Welcome son!
   
 20. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  jk= janga la kitaifa!
   
Loading...