Walimu waanza mgomo, serikali yaenda mahakamani, mahakama yazuia mgomo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu waanza mgomo, serikali yaenda mahakamani, mahakama yazuia mgomo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 9, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 1,865
  Likes Received: 4,519
  Trophy Points: 280
  Serikali imeamua kwenda mahakamani kuzuia mgomo wa walimu na kutolewa amri ya kutogoma na mgomo kuwa hauna uhalali na wakigomo hatua ya kinidhamu itachukuliwa dhidi yao.

  Concern

  Mahakama ishakuwa kichaka cha serikali na imewekwa mfukoni.
   
 2. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,463
  Likes Received: 1,150
  Trophy Points: 280
  Liwalo na Liwe!
   
 3. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hii ndoa ya serikali na mahakama siku moja italeta balaa kwa taifa. Kwanini wananchi wote wasiigomee serikali tuone kama mahakama itawashurutisha wote?
   
 4. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hilo tamko la mgomo limetolewa na nani?
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,076
  Likes Received: 5,238
  Trophy Points: 280
  I support the teachers!
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wananchi ni zaidi ya mahakama, km hatukubaliani na uamuzi wa mahakama, tutaingia mtaani full stop
   
 7. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Me too
   
 8. t

  thatha JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,228
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  lini wametangaza mgomo acha kuzusha bwana.
   
 9. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #9
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,021
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Hii kali imetoka lini tena mm imenipita kando maana mke wangu ni Mwl hana habari na simshitui mpaka mnipe Source
   
 10. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,660
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mahakama ndio CCM - C? Naona mahakama nayo imeishafunga ndoa na CCM!!!!
   
 11. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  like i do
   
 12. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,499
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Likewise!!
   
 13. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,487
  Likes Received: 1,851
  Trophy Points: 280
  nasi twendeni mahakamani kulazimisha govt itupe huduma muhimu afya,elimu,maji,makazi,ulinzi kwani ni wajibu wake
   
 14. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #14
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 6,370
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Hata mahakama inagomewa siku hizi!
   
 15. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,487
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Why?. Mwalimu wakati anasaini fomu za mkataba wake wa kazi hakuusoma vizuri kuhusu malipo na malupulupu yake?. Kwanini leo agome?. Kama hawezi kufanya hiyo kazi ache mara moja hakuna sababu ya kuumizana vichwa.
   
 16. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #16
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,837
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  I support you
  I support the teachers
  Ila majaji wanalipa fadhila maana wameteuliwa na yeye Mkuu wa Mahakama zote na watanzania wote Mtukufu JK
   
 17. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #17
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,121
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  students should suppport their grossly underpaid walimu likewise.
   
 18. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #18
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160


  Kitambo sana Kamanda!
  Ila mwisho wao waja hakika!
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwani urais wa JK si hauna ubia na mtu?? au ndo mahakama inaubia nae
   
 20. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #20
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Siku mahakama wakigoma watakimbilia wapi?
   
Loading...