Madaktari: Serikali ya CCM haijawahi kuwasikiliza. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari: Serikali ya CCM haijawahi kuwasikiliza.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ntamaholo, Jul 12, 2012.

 1. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,106
  Trophy Points: 280
  Habarini wakuu.

  Serikali ya CCM, haijawahi kuonesha nia ya dhati kuheshimu taaluma za watu hasa MADAKTARI. Wanafanya hivyo kwa kuwa, wanategemea mapato makubwa kutoka katika shughuli haramu za kusindikiza wagonjwa INDIA kufanyiwa matibabu ya magonjwa ambayo baadhi ya madaktari wazalendo wanayamudu na wanahitaji vifaa tu kuyashughulikia.

  kuna Dk. mmoja mkerewe, anafahamika kwa jina la DK. MASAU, ambaye amewahi kufungua clinic yake ya kupasua moyo. huyu dk, alifanyiwa zengwe na akaamua kukimbia nchini, akarudi marekani, na baadaye kupewa majengo kufanya kazi RWANDA huku serikali ikimpa kila aina ya msaada anaohitaji kutekeleza majukumu yake.

  kwa hali hii, tutafika?
   
Loading...