Hongera Nchemba kwa kumsamehe Mnyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera Nchemba kwa kumsamehe Mnyika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAFILILI, Jul 12, 2012.

 1. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Mheshimiwa Mwigulu Mchemba umeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kuamua kutoa msamaha kwa Mheshimiwa Mnyika kutoka na kauli yake aliyoitoa Bungeni. Hilo ni jambo jema kwani unatimiza sera madhubuti za CCM zinazohimiza kusamehemeana miongoni mwa wananachi pasipo kujali itikadi za siasa wala dini.
   
 2. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,369
  Likes Received: 8,438
  Trophy Points: 280
  Hapo dini imeingiaje tena?
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Mwizi akiachiwa MAHAKAMANI na hakimu kwa kukosa ushahidi atamsamehe vipi HAKIMU? Hii mupya kabisa
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mafilili = ma vi li li.
   
 5. B

  Bisek Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Elezea in detals amemsamehee from what grounds..usikurupuke
   
 6. d

  dguyana JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi ndio sera ya CCM Kusameheana. Kwani si unakumbuka hata kaka aliwasamehe wale EPA. Safi Mgulu.
   
 7. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani kamsamehe au anashukuru Mungu ushahidi usisomwe bungeni?
   
 8. miss strong

  miss strong JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 7,027
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Tena anashukuru sana
   
 9. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Mpeni haki yake kwa kumpa BIG UP Mheshimiwa Mchemba kaonyesha uungwana uliotukuka. Mnyika hakuwa na ushahidi hivyo angeishia pabaya kwa vile alikurupuka. Nyie wana CDM muweke ushabiki pembeni na kukiri Mnyika aliteleza kwa kutoa kauli ambayo haikuwa na uhalisia
   
 10. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280

  Huyu Mwigulu Mchembe aache usanii wake. Huu msamaha umeanzia wapi tena wakti yeye ndo juzi alikumbushia kwa Spika kuwa Mhe.Mnyika alikuwa anachelewa kuleta ushahidi katika siku 7 alizopewa na Bunge.

  Sasa jana Mhe.Mnyika kaleta ushaihidi ulikowenda shule na Mwigulu ameona mambo yanaweza kumharibikia ameanza kuweweseka. Yeye kama ni wa kusamehe mbona hakutamka siku ileile kuwa hakuhitaji ushahidi kutoka kwa agizo la Spika na biashara ingeishia palepale. Lakini kwa ufinyu wa akili za Mwigulu alikuwa akijidanganya kuwa Mhe.Mnyika hatapata ushahidi!

  Sasa ameona ushahidi unaanza kumwendea vibaya anajiwahi na kusamehe!
   
 11. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwani Mnyika ameshindwa kuthibitisha madai yake dhidi yake au?

  Anasema amemsamehe ili kukwepa aibu mbele ya jamii au?
   
 12. L

  Luluka JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Amemsamehe kwa lipi?akakojoe alale huko!
   
 13. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  JAMBAZI linawezaje kumsamehe mwendesha mashtaka wakati Hakimu bado hajatoa hukumu?
   
 14. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0


  Mkuu funguka wengini ni siku ya2 hatuna umeme hatujui chochote tunategemea jf
   
 15. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mrs Mwigulu unaiweza propaganda... hongera nasi tunakusamehe, ujui ulisemalo.
   
 16. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #16
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Kwani Mnyika aliomba msamaha? Mbona anajitekenya na kucheka mwenyewe
   
 17. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  hapa ndipo namkumbuka jamaa aliyesema

  chemba ni chemba hata iwe ulaya.
   
 18. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Pipoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzz
  .................................................................
   
 19. d

  dandabo JF-Expert Member

  #19
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Duh! Aisee CDM hamna jema! Jamaa kawasamehe bado mnamuona f.la. Nyie watu wa ajabu sana.
   
 20. d

  dandabo JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Mmmmh!!
   
Loading...