Sasa nimepata kazi ya kuainisha taarifa - Intelligence Analyst | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa nimepata kazi ya kuainisha taarifa - Intelligence Analyst

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Richard, Jul 12, 2012.

 1. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Baada ya kuandika sana hapa sasa nimeamua kusaidia mawazo wana JF wenzangu na kujikita zaidi kwenye kazi hii ambayo nafikiri ndio naifurahia baada ya kupiga sana boksi huku majuu hapa mjini Bastille, France katika kazi yangu ya IT.

  Ntakuwa freelance na ntakuwa nikishirikiana na wana JF wote wapendao maoni yangu ambayo huwa najitahidi kufanya analysis ya kutosha.

  Nikiwa nashirikiana na kampuni iitwayo B3techonologies nna mpango wa kuanzisha shughuli za kijasirimali pale nchini Tanzania ambazo zitakuwa ni utoaji ushauri katika masuala mbalimbali yahusianayo na upashanaji habari katika muda husika kwa kutumia simu za mikononi na mitandao ya kijamii.

  Maoni yangu yatandelea kuwa firm but fair na ntaendeleza busara zangu katika kubadilishana mawazo.

  Ukiwa na ushauri au jambo muhimu usisite kunitupia kwenye PM.

  B3 Technologies
   
Loading...