Mnyika Kwishney, awasilisha ushahidi mwepesi na kwa sasa asubiri huruma ya spika tu

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
Jana trh 10.07. 2012 kwenye mida ya saa 11.10 jioni, Mh. Mnyika aliwasilisha ushahidi wa utetezi wake wa kuthibitisha uhusikaji wa Mh. Mwigulu Mchemba na kashfa ya EPA. Kwenye dodosa zangu na wahusika wa ofisi ya katibu wa Bunge, walinihabarisha kuwa mambo yaliyoandikwa na Mnyika ni too general, ambayo ni yale yale yanayosemwa magazetini, mitandaoni, na ushahidi wake mkubwa ni ripoti ya BOT kuhusiana na sakata la EPA.

Kwa minajili hiyo basi, ushahidi wa Mnyika wa kumuhusisha Mh. Mwigulu moja kwa moja na ushiriki wake kwenye EPA waonyesha haupo, na hili ndilo lilikuwa agizo la Mh. Mhagama ambalo alilo toa kuwa Mnyika aonyeshe ushiriki wa Mwigulu Mchemba personally na kashfa ya EPA na sio ushahidi wa BOT kwa ujumla wake.

My take: Kwa hali hii ni wazi kabisa Mh. Mnyika amejiabisha yeye mwenyewe, amewaibisha wananchi wa ubungo, amewaibisha vijana, amewaibisha CDM, amewaibisha wabunge vijana nk kwa kutokuwa na hoja zenye mashiko na zisizo kweli na uhakika. Kwa sasa anategemea huruma ya spika tu kwenye jambo hili.
 
Jana trh 10.07.2012 kwenye mida ya saa 11.10 jioni, Mh. Mnyika aliwasilisha ushahidi wa utetezi wake wa kuthibitisha uhusikaji wa Mh. Mwigulu Mchemba na kashfa ya EPA. Kwenye dodosa zangu na wahusika wa ofisi ya katibu wa Bunge, walinihabarisha kuwa mambo yaliyoandikwa na Mnyika ni too general , ambayo ni yale yale yanayosemwa magazetini, mitandaoni, na ushahidi wake mkubwa ni ripoti ya BOT kuhusiana na sakata la EPA. Kwa minajili hiyo basi, ushahidi wa Mnyika wa kumuhusisha Mh. Mwigulu moja kwa moja na ushiriki wake kwenye EPA waonyesha haupo, na hili ndilo lilikuwa agizo la Mh. Mhagama ambalo alilo toa kuwa Mnyika aonyeshe ushiriki wa Mwigulu Mchemba personally na kashfa ya EPA na sio ushahidi wa BOT kwa ujumla wake.

Kwa taarifa yako, Mnyika hata kama asingepeleka huo ushahidi. Hajajiaibisha yeye wala hakuna mwana Ubungo hata mmoja atakayeona aibu eti kwa kuwa Mnyika kamshutumu huyo Mchemba. Nina uhakika kabisa kwa chama chake CDM wala hakuna tone la aibu kwa Mnyika kwa ajili ya issue hiyo. Aliyofanya na anayoendelea kufanya bungeni pamoja na kuwa anakwazwa na wabunge mbumbu wengi wa Chama Cha Mbwepande, lakini bado amefanya makubwa zaidi ya wabunge wengine 200 wa Mabwepande.
 
Mkuu, hata iwe hoja ya msingi hawa jamaa wataitupa tu... Kumbuka issue ya Fedha zilizotengwa kwa ajili ya safari ya Rais,iliripotiwa zimechakachuliwa lakini tayari wamesha kanusha, HAZIJAIBIWA....!!!!!
Hata pesa walizoficha uswis inaweza ikawa uongo
 
Jana trh 10.07.2012 kwenye mida ya saa 11.10 jioni, Mh. Mnyika aliwasilisha ushahidi wa utetezi wake wa kuthibitisha uhusikaji wa Mh. Mwigulu Mchemba na kashfa ya EPA. Kwenye dodosa zangu na wahusika wa ofisi ya katibu wa Bunge, walinihabarisha kuwa mambo yaliyoandikwa na Mnyika ni too general , ambayo ni yale yale yanayosemwa magazetini, mitandaoni, na ushahidi wake mkubwa ni ripoti ya BOT kuhusiana na sakata la EPA. Kwa minajili hiyo basi, ushahidi wa Mnyika wa kumuhusisha Mh. Mwigulu moja kwa moja na ushiriki wake kwenye EPA waonyesha haupo, na hili ndilo lilikuwa agizo la Mh. Mhagama ambalo alilo toa kuwa Mnyika aonyeshe ushiriki wa Mwigulu Mchemba personally na kashfa ya EPA na sio ushahidi wa BOT kwa ujumla wake.
My take: Kwa hali hii ni wazi kabisa Mh. Mnyika amejiabisha yeye mwenyewe, amewaibisha wananchi wa ubungo, amewaibisha vijana, amewaibisha CDM, amewaibisha wabunge vijana nk kwa kutokuwa na hoja zenye mashiko na zisizo kweli na uhakika. Kwa sasa anategemea huruma ya spika tu kwenye jambo hili.
Huyo Jamaa yako, a.k.a Gamba mwenzio amekwambiaje kuhusu Ushahidi wa Lema? Na kuhusu ushahidi wa Zitto amekwambiaje? Amekwambia ni kwanini mpaka leo shahidi hizo hazisomwi!
 
Hivi Mnyika amejiaibisha kwa lipi?
Kwa uzuri gani alio nao Mwigulu Nchemba mpaka wana Ubungo wamsuse Mnyika?
Hivi mambo yote aliyotetea Mnyika toka aingie Bungeni yafutwe na kauli hiyo, ambapo nayo bado one way or the other iko correct!
Mleta mada ni MwanaMagamba na huenda unaishi Mabwepande!
 
Sasa kwa nini usisubiri uamuzi ya Spika, mbona unatoa umamuzi kabla ya Spika ?
 
Ikiwa ushahidi alipeleka Mnyika sio kweli, hiyo itakuwa issue, lakini ushahidi wa Lema ambao ulikuwa kweli, Mama Shipika kaukalia wapi?
 
Mnyika sii mwepesi kiasi hicho bwana wewe.....!!! Kile ni kichwa cha ukweli!!
 
tukikuita kilaza mkurupukaji hatutakuonea........let us wait though hata kma ushaidi unajitoshereza kwa serikali DHAIFU ya jk...hakuna tunalotegemea...
 
CCM ilishajitia KITANZI siku nyingi. Wether ushahidi wa Mnyika ni mwepesi hautakaa usomwe bungeni, because kabla ya ushahidi wa Mnyika kusomwa lazima shahidi nyingine zilizotangulia zisomwe kwanza. Vinginevyo wananachi tutaamini kwamba ushahidi ule ambayo hauthibitishi ndiyo husomwa. Hivyo shahidi zilizotangulia zilithibitisha ndiyo maana hadi leo hazijasomwa. Hivyo Bunge kabla ya kusoma ushahidi wa Mnyika inabidi kwanza isome zifuatazo ;-)
1. Ushahidi wa Lema dhidi ya Pinda Kusema uongo
2. Ushahidi wa Magdallena Sakaya dhidi ma-DC kuhongwa
3. Ushahidi wa Zitto Kabwe dhidi ya Baraza la waziri kurubuniwa(?)

Baada ya hapo ndiyo uje Ushahidi wa Mnyika dhidi ya Nchemba. Ni Spika gani mwenye GUTS ya kusoma hizo shahidi? Labda kama ile SERA ya nambari ONE KULINDANA iwe imekufa.
 
ukizoea kuongea kwa masaburi ni kaazi kweli kweli na wewe kabisa wananchi wa jimbo lako walikuchagua?nadhani na jimbo lako woote ni zaidi ya mbumbumbu
 
Jana trh 10.07.2012 kwenye mida ya saa 11.10 jioni, Mh. Mnyika aliwasilisha ushahidi wa utetezi wake wa kuthibitisha uhusikaji wa Mh. Mwigulu Mchemba na kashfa ya EPA. Kwenye dodosa zangu na wahusika wa ofisi ya katibu wa Bunge, walinihabarisha kuwa mambo yaliyoandikwa na Mnyika ni too general , ambayo ni yale yale yanayosemwa magazetini, mitandaoni, na ushahidi wake mkubwa ni ripoti ya BOT kuhusiana na sakata la EPA. Kwa minajili hiyo basi, ushahidi wa Mnyika wa kumuhusisha Mh. Mwigulu moja kwa moja na ushiriki wake kwenye EPA waonyesha haupo, na hili ndilo lilikuwa agizo la Mh. Mhagama ambalo alilo toa kuwa Mnyika aonyeshe ushiriki wa Mwigulu Mchemba personally na kashfa ya EPA na sio ushahidi wa BOT kwa ujumla wake.
My take: Kwa hali hii ni wazi kabisa Mh. Mnyika amejiabisha yeye mwenyewe, amewaibisha wananchi wa ubungo, amewaibisha vijana, amewaibisha CDM, amewaibisha wabunge vijana nk kwa kutokuwa na hoja zenye mashiko na zisizo kweli na uhakika. Kwa sasa anategemea huruma ya spika tu kwenye jambo hili.
Kwa maoni yako ni kwamba EPA haikuwepo au kufanyika kipindi Mwigulu akiwa BOT, kwa nini basi huyo Bwn akapewa cheo cha muweka hazina wakati wakukusanya fedha za EPA kwenda CCM kwa matumizi ya uchaguzi?

Unataka CCM waanze kuchoma mafaili nini, au kwa sababu hakuna wa kuwafuatilia hawana wasiwasi wowote!

Kwa taarifa yako Huyo Bwn Mwigulu anajua kila kitu kwenye hilo sakata la EPA! Nimgemshauri Mhe Mnyika kwa vile hawa watu tumeisha waweka kwenye kona tusiwe na haraka nao, kama mfa maji wasituzamishe watatulia waanze kuelea tuwachukue kirahisi watueleze kila kitu!
 
Ushahidi wa G. Lema, Msigwa na Tundu Lissu ulioonesha Serikali na Wazuri mkuu kusema uongo kwa kudanganya Wabunge na Umma wamefanya nini? Kiti cha Spika kina mapungufu aidha yatokanayo na uwezo wake au makusudi.
 
Back
Top Bottom