Kama kuna mtu ana mapenzi mema na rais amfikishie ujumbe huu.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama kuna mtu ana mapenzi mema na rais amfikishie ujumbe huu....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msanii, Jul 11, 2012.

 1. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Charles Tylor hakuhukumiwa kwa makosa aliyoyatenda yeye binafsi, bali yalitendwa chini ya mamlaka yake wakati alikuwa na uwezo kuyazuia kutendeka. Waliyoyatenda wapo mtaani wanakula bata kwa fedha dhalimu walizozipata baada ya kumwaga damu za ndugu zao.

  Inawezekana Tylor alikuwa na nia njema ya kuzuia uhalifu usiingie na kuenea Liberia lakini kanuni za kibinadamu zilikiukwa vikubwa. Hivyo kupelekea historia mbaya kwa Afrika na huzuni kubwa kwa nasaba yake...

  JK, inawezekana kabisa kwamba nyuma ya hizi brutal zinazofanywa na dola dhidi ya raia wako hakuna NIA wala MAAMUZI yako, lakini inawezekana walio chini yako wanaamua wakiamini wanafanya kwa niaba. Inawezekana kabisa kwamba inakuuma na kukusumbua sana haya matukio mfululizo yanayodhalilisha nafasi yako na utu wako lakini huna la kufanya.

  Inawezekana kabisa kupitia nafasi yako uliyo nayo sasa unadhibiti vyombo vya kutoa haki (mahakama) kutenda haki isiyo haki. Hivyo kutumika kukandamiza na kubamiza matumaini ya raia wako wengi.

  Take my words...


  1. Chukua hatua za kinidhamu dhidi ya wanaoharibu kwa kutumia jina na nafasi yako..
  2. Kukaa kwako kimya ni jibu tosha kwamba you are behind na uhalifu dhidi ya binadamu unaofanywa na wasaidizi wako...
  3. Siku hazigandi, hivyo usiporekebisha sasa tegemea uwezekano wa wewe kushtakiwa kwenye mahakama ya uhalifu wa kivita muda wowote ule.
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wanakuja Zomba,Ritz,MAMA POROJO,Tume ya Katiba and the like!, utawaskia tu! jiandae kupokea kauli zao!
   
 3. mpogole

  mpogole Senior Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wamepata ujumbe watafikisha .................
   
 4. s

  saita Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  masikio yao hayasikii, macho yao hayaoni, akili zao hazitambui na mioyo yao haina huruma wala utu tena na wkiona watakutafuta kwamba unahatarisha amani ya taifa.
   
 5. m

  majebere JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Kweli mtu na akili timamu atachukua huu upuuzi ampelekee JK? Kweli akili ni mali.
   
 6. a

  andrews JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​wote hao nasikia walitoroka milembe hawajamalizia matibabu wasamehe mkuu.
   
 7. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,682
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Maoni yako ni sahihi kabisa, tatizo ni kwamba tumefika huko kwasababu ya udhaifu wa rais kikwete, uzembe wa bunge, na upuuzi wa chama cha misitu (ccm). Katika hayo yote unategemea nini?
   
 8. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Sikio Lakufa Halisikii?????.......
   
 9. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,178
  Likes Received: 10,517
  Trophy Points: 280
  Mhh!! sidhani....
   
 10. d

  dguyana JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa ujumbe kama huu ukimpelekea anaweza ukawachizi usiependa maisha yako. Maana sijui kama utaishi salama sababu jamaa ni mtu wa visasi sana. Hongera kwa kulijua hili dada.
   
 11. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #11
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Charles Taylor alikuwa jambazi sugu aliyetoroka maximum security prison Marekani. Unasema vipi hakuhusika na uovu uliotokea Liberia,kwamba wasaidizi wake ndio walikuwa wahusika?
   
 12. controler

  controler JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 1,537
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  JK na wewe wote Ni kundi moja. Hamuwezi kuelewa hii maneno
   
 13. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  kwa mara ya kwanza nilikutana na Charles Taylor mwaka 1981 chicago ilikuwa mwezi june nikitokea cuba yeye alikuwa hapo chicago akimalizia mafunzo yake juu ya steganography na alikuwa ni informant wa CIA. na ni hao hao CIA waliomsaidia kutoroka gerezani huko boston mwaka 1985. hakuwa jambazi kama unavyodai.
   
 14. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Jamani lile ni "SIKIO LA KUFA" nyerere aliona mbali na akasemaa bado halijakomaa kumbe sio yeye tu ambae hajakomaa wana mabwepande wote wakalipa urais kuonyesha wasivyokomaaa na hapo ndipo nilipo hama ccm,,ccm(choo cha makuti) wote ni sikio la kufa,,,ngoja watoke madarakani watajuta kwa mauaji wanayofanyya chini ya utawala wao
   
 15. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  ah!ah!ahaaaaa majebere unaramba viatu vya sikio la kufa(dhaifu) kwa maslai ya nani?watu wanateswa na kutolewa uhai unaodhani mungu hata wahukumu kama walivyo fanya mabwepande??Gadaff na Sadam hussen nao walitumiwa ujumbe hivihivi!matokeo yake tuli yaona...............sina shaka na ilo ujumbe umemfikia dhaifu yeye aendelee kutia pamba masikioni tu!watu wanaorodhesha mauaji tu!atajibu siku moja.
   
 16. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nadhani signature yangu inajitosheleza katika hili!
   
 17. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Keshafika majebere! keshaanza tayari,tusubirie wengine
   
 18. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Vick Kamata, Betty Mkwasa wote wanamapenzi mema na raisi nadhani watafikisha ujumbe huu.
   
 19. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Which implies kuwa wewe ni maskini maana huna mali!
   
 20. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #20
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,246
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Exactly!
   
Loading...