Dr. Slaa aitolea nje serikali ya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa aitolea nje serikali ya Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dubu, Jul 10, 2012.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Katibu mkuu wa Chadema na aliyekuwa Mgombea wa urais mwaka 2010 kupitia chama cha CHADEMA ambacho ni chama kikuu cha upinzani na kinacho ongoza kwa umaarufu na kupendwa na watu wote hasa vijana Nchini tanzania na Nchi za jirani Dr.W.Slaa, amesema hatokubali kuhojiwa na polisi juu ya habari za kutishiwa kuuwawa kwa viongozi wa ngazi za juu wa chama hicho kwa kile alichodai kwamba hana imani na jeshi hilo la polisi.
  Ni hayo tu.
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Umekosea kidogo Mkuu hapo kwenye Rangi siyo nchi za jirani tu mpaka Ulaya America Asia Australia na wengine wanakipenda hicho chama
   
 3. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Saafi sana
   
 4. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  huyu mzee bora arudie fani yake tu
   
 5. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Anasema anamtaka nani amhoji....! Au Ocampo..?
   
 6. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  pamoja na hayo.Umeandika taarifa hii kwa ushabiki mno mpaka mtu wa kawaida anaelewa wewe uko katika itikadi gani! Na kupoteza reputation ya kuwa jf!
   
 7. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  kama wao nao wanaongozwa na Dhaifu hawana jipya.....hawana hadhi ya kumuoji dr:israel:
   
 8. m

  meemba Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni sawa alivyosema Dr.Slaa,ni serikali dhaifu na ya ubabaishaji.
   
 9. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  pumba tu kijana hebu uwe unachagua sehemu za kubandika huu ***** sio jukwaa la siasa
   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Singo imegoma kuuzika, kwa hiyo anataka kuhojiwa na nani KGB au FBI.
   
 11. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Na wewe umekosea kidoooogo Mkuu, sio Ulaya, America, Asia, Australia, bali hata Mungu na Malaika wanakipenda hicho chama, na ndio maana Sisi tuna Mungu, wao wana walichonacho.
   
 12. mangikule

  mangikule JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 3,178
  Likes Received: 1,260
  Trophy Points: 280
  ALUDIE ndiyo nini?? Kweli shule za kata za serikali ya CCMABWEPANDE imewamaliza!!
   
 13. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kiboko Yenu, Apolonary , Negembo na kipepeo hajafika mtawasikia tu wametumwa ili mradi watoto wao wanaenda chooni.
   
 14. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Ipi? sababu hata siasa kaanza toka miaka ya sabini au kabla? mi huwa nampendea haya majibu yake ya utata utata tu.
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: labda anataka fbi au MI5
   
 16. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Dr Slaa unahitajia mkutano kutoa na kuhubiri imani hio ,na isitoshe huna imani na jeshi la polisi na pia huna imani na mahakama ni mambo ambayo wananchi watapenda wayasikie kupitia kwenye mikutano na sio vipembeni .
   
 17. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #17
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Ameona itakula kwake...
   
 18. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wale waliomhoji Samwel Sita na Mwakyembe na kuleta ripoti. Au wale waliohoji kuuawa kwa wafanyabiashara ya Madini na kuja na taarifa ya Zombe kuhusika kisha mahakamani wakaambiwa wakamlete muuaji na pale hakuna muuaji!

   
 19. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #19
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Amesema wapeleke kesi mahakamani ili yeye akatoe ushahidi mbele ya mahakama. Inaonekana anataka kumwaga mchele kwenye kuku wengi. Bila shaka ana ushahidi wa kutosha. Lakini hata hivyo sidhani kama hiyo kauli yake itafanya kazi, maana Nchimbi amesema suala la ulinzi wa mtu si la hiari, serikali inaweza kutumia nguvu kumpa ulinzi au kumlazimisha aisaidie polisi kulichunguza jambo hilo. Nafikiri siasa za bongo zimefika pazuri. Kama serikali ingeamua kujikausha na kujifanya haijasikia, ingeweza kulimaliza jambo hili kirahisi sana, lakini ikishaanzisha malumbano tu, ndo itajiweka kwenye wakati mgumu zaidi.
   
 20. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #20
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ni kweli acha akatae manake hii serikali dhaifu ya JK hata haijulikani nani police nani alshababu.....anaeza kwenda kwa mahojiano afu akajikuta msitu wa pande akiwa hana meno wala kucha!......asiende asee!
   
Loading...