HALIMA MDEE: Bora ufe kwaajili ya wajuukuu zako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HALIMA MDEE: Bora ufe kwaajili ya wajuukuu zako

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Latifaa, Jul 12, 2012.

 1. Latifaa

  Latifaa JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 474
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  nimemnukuu tuu.
   
 2. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Umekosa cha kuandika? Si ungejaribu hata kusoma post nyingine na kuchangia kama ulikua una hamu ya kuandika? Haya mambo ya FACEBOOK sio huku..!!
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Daah! Latifaa umeanzisha thread eeeh!
   
 4. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Mi namshauri mdee atetee na kero kwenye hayo majimbo ya magamba hapo dar kama segere na ukonga kwani hawana wawakilishi
   
 5. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  halma mdee ana dhani kufa ni jambo la mdhaha achukue mfano wa dr sla,mnyika na lema wanavyo piga kelele kulalamikia usalama wa taifa kuwa inataka kuwa ua! bongo hakuna mwanasiasa ambaye yupo tayari kufa kwa ajiri ya watanzania ni wasanii tu hawana lolote!
   
Loading...