Bunge la tanzania lisivyowatendea haki walemavu wasiosikia. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge la tanzania lisivyowatendea haki walemavu wasiosikia.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Babuu Rogger, Jul 12, 2012.

 1. B

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 80
  Wana Famiiforums kwa miaka mingi bunge letu limekuwa haliwafikii ndugu zetu walemavu wa kutosikia kwa kuwa yule mtu anaewatafsiria pale pembeni hatujawahi kumuona hata kidogo akiwatafsiria hawa ndugu zetu, mfano ukiangalia bunge la kenya wanae mtu anaewatafsiria walemavu wasiosikia. Sasa je hii inakaaje kwa bunge letu la TZ wana jamiiforums, maana tunawanyima haki yao ya msingi kabisa hawa ndugu zetu.
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu umenena,Kweli hili kundi la wenzetu limesahaulika katika kupata habari.
   
 3. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mhi si kwa tz ninayoijua
   
 4. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu, inawezekana fedha zinatengwa zinaingia mfukoni mwa mkuu fulani. Hawa wataalamu wa kutafsiri kwa ndugu zetu wapo mimi namkumbuka dada mmoja VESTINA MTAGULWA alikuwa pale CHAWATA Buguruni kwa ajili ya kuwaunganisha ndugu zetu walipokuwa wanakuja hapo ofisini kwao. Huyu dada yupo lakini sijaona serikali kumtumia kwenye shughuli mbali mbali. Tuwaambie wabunge wetu walihoji jambo hili kipindi cha bajeti hii. Ubarikiwe mwanaJF umeibua jambo jema kabisa.
   
 5. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Sio tu wamewanyiumwa haki ya kufuatilia mijadala bungeni. Pia hawa ndugu zetu wasiosema (mabubu) wamenyimwa haki indrect ya kuwa wabunge kwani bungeni kura hupingwa kwa kusema NDIYO au HAPANA. Kwa mantiki hiyo mbunge ambaye nini bubu atapigaje kura?

  CCM acheni kuwanyanyapaa mabubu wekeni wakarimani bungeni pia wekeni VITUFE vya kupigia kura za NDIYO na HAPANA ndani ya ukumbi wa bunge.
   
 6. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ni bunge au TBC ???
   
 7. Blood Hurricane

  Blood Hurricane JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,151
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Well said. Nakuunga mkono. Mpaka sasa sijaona taratibu zozote za kuwasaidia.
   
Loading...