Mwanaharakatihuru
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 477
- 120
Ule usemi mwafrica lake tumbo umetimia pale madaktari walipoenda wizarani wakilia na kulaani kupotoshwa chanzo kimeeleza.
Mpaka napo pata chobingo ya kurusha nondo hizi aliyeonyesha msimamo baada ya Dr Ulimboka ni Dr Mng'ong'o peke yake kwa kuamua kuresign akiwa kama specialist
Kama hoja ya msingi wanayogomea ni vifaa na madawa inakuwaje kuambiwa kurudi wa karudi.
Naanza kuamini kuwa kuna watu ama wanatumika ama wanachodai kikubwa ni mshahara.
Huu ni upepo tu, kweli ukiona upepo wa ganda ujue ama wewe kichaa ama umelogwa upepo wake mbio
Madaktari asanteni kwa kutusaidia kujua upande wa pili wa shilling