SPIKA wa Bunge, Anne Makinda ameizuia Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), kuchunguza sakata la kusimamishwa kwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi...
Siku ni kitu cha kawaida kuzikuta siri nyeti za serikali mikononi mwa wasiokuwa serikalini. Zipo school of thought mbalimbali za namna ziri hizo zinavyofika mikononi mwa wasiohusika lakini...
0digg
Leon Bahati
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda ameizuia Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), kuchunguza sakata la kusimamishwa kwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania...
Unaona wafanya biashara wakubwa kutoka Zanzibar wamewekeza Bara.kama BAKHARESA. TURKEY. na wengine ambao wanaingiza kodi kubwa kwa upande wa bara Lkn kwa upande wa Bara kwenda Zanzibar wengi wa...
ALHAMISI, JULAI 19, 2012 05:41 NA ELIZABETH MJATTA, DAR ES SALAAM
BARAZA Kuu la Uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF), limetangaza kamati mpya ya utendaji ya Jumuiya ya Vijana Taifa (JUVICUF)...
TAARIFA YA
MHESHIMIWA DKT.
JAKAYA MRISHO
KIKWETE, RAIS WA
JAMHURI YA
MUUNGANO WA
TANZANIA,
KUFUATIA AJALI YA
KUZAMA KWA MELI
YA MV SKAGIT
ILIYOTOKEA TAREHE
18 JULAI, 2012,
CHUMBE...
Rais Kikwete alianza kutangaza siku 3 za maombolezo nchi nzima ya Tanzania, tena Rais Shein katangaza siku 3 za maombolezo kwa Zanzibar. Ina maana wazanzibari wataomboleza jumla ya siku 6 au ni...
Lincoln pia aliendelea kudai kuwa washtakiwa Simba na* Diwani wa zamani wa Sinza, Salim Mwaking'ida kati ya Septemba 2009 na Februari mwaka jana, kwa makusudi walitumia vibaya nafasi zao kuharibu...
1.Suala la kuteswa Dr Uli
2. SInema ya Kova na Kichaa wake kuhusu utekaji wa Dr Uli.
3. Leo tena Spika wa wa Bunge wa CCM anakataa hoja ya kuahirisha kikao ili wabunge waweze kwenda ku participate...
Na Joster Mwangulumbi - Imechapwa 11 July 2012
ULIMBOKA ni neno la Kinyakyusa lenye maana ya Mungu uniponye. Neno hilo ndilo linatumika kama jina na ukoo wa Dk. Steven.
Mtu akiwa kwenye...
Kwa haraka kabisa
Ningependa kujua kama hii meli na manaodha wake walituma any distress signal or performed SOS.
Je walikuwa na facility hizi on board?
Je vyombo vyetu vingine vina uwezo wa...
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
BY ORTON KIISHWEKO, 19 JULY 2012
Comment
NDOVU Resources, a subsidiary company of Aminex Plc of UK has already hit 1.17 trillion cubic feet of gas at...
Nimeangalia video clip iliyorushwa na Star TV leo asubuhi, inayoelezea yaliyojiri bungeni jana baada ya Hamad Rashid kuomba muongozo na kujibiwa majibu ya kifedhuli na Spika wa Bunge (...
Ama kweli wema usizidi uwezo;msemo huu nilipokuwa nikiusikia nilifikiri wanaoutumia msemo huu either walikuwa hawawatakii mema wenzao,lkn nimeona ni ukweli mtupu,watu hawa(wakimbizi)kwa muda sasa...
Wajumbe wa mkutano mkuu wa kata moja huko sengerema kwenye jimbo la aliyekuwa waziri wa nishati na madini,Ndg.Ngeleja, wamepigana ngumi kwa kile kilichodaiwa kuwa ni viongoz wa ccm kata hiyo...
Leo ni siku ya pili sasa, mji wa dodoma umeanza kuwa na mgawo wa umeme. Kwa maeneo ya Kisasa mgawo umekuwa ukianza mida ya saa 8 usiku hadi saa 4 asubuhi.
Leo ni siku ya pili mfululizo kitu...
Nimeangalia taarifa ya habari Itv,kwa kweli wamechukua muda wa kutosha kuelezea ajali ya meli iliyozama,pia wamehoji watu mbalimbali kuhusu tukio hili.Ilifikia kwa waziri Nyalandu,yeye akasema...
Miaka hamsini imepita.Uchumi hovyo,siasa safi hakuna,uongozi bomu,malazi duni,amani ya maigizo na kadhalika. Kwakifupi,tumeshindwa kujenga Taifa letu.Yawezekana tunashindwa kufuata ramani...