Mgawo wa umeme umepiga hodi Dom tangu jana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgawo wa umeme umepiga hodi Dom tangu jana!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ndyoko, Jul 20, 2012.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Leo ni siku ya pili sasa, mji wa dodoma umeanza kuwa na mgawo wa umeme. Kwa maeneo ya Kisasa mgawo umekuwa ukianza mida ya saa 8 usiku hadi saa 4 asubuhi.

  Leo ni siku ya pili mfululizo kitu kimeanza kunyanyasa.

  Huenda ule mgao 'feki' uliopangwa ili kuwanufaisha viongozi waandamizi wa nchi hii wakati wake ndo umetimia. Sijui itakuwaje maana huu ni mwezi wa saba.
   
 2. B

  Bulah JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ni kweli ndugu .... hawa mafisadi wanaifanya nchi kama wanavyotaka..... hata huku kongwa ni ivo ivo
  .....
  dhaifu hawa wanatutesa
   
Loading...