KUJENGA tumeshindwa,ni muda wa KUBOMOA... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KUJENGA tumeshindwa,ni muda wa KUBOMOA...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Jul 20, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,576
  Trophy Points: 280
  Miaka hamsini imepita.Uchumi hovyo,siasa safi hakuna,uongozi bomu,malazi duni,amani ya maigizo na kadhalika. Kwakifupi,tumeshindwa kujenga Taifa letu.Yawezekana tunashindwa kufuata ramani iliyochorwa na Nyerere. Wakati umefika wa kubomoa kwanza na kuchora tena ramani kabla ya kujenga tena. Au wewe unasemaje?
   
Loading...