Wana ccm wazichapa kwa Ngeleja.

Cartoons

Senior Member
Jul 16, 2012
122
38
Wajumbe wa mkutano mkuu wa kata moja huko sengerema kwenye jimbo la aliyekuwa waziri wa nishati na madini,Ndg.Ngeleja, wamepigana ngumi kwa kile kilichodaiwa kuwa ni viongoz wa ccm kata hiyo kuchakachua majina ya wagombea.
Inadaiwa viongozi hao wa chama cha zamani waliondoa majina ya wagombea wengine bila sababu ya msingi.

Source > Radio SAUT FM,96.1 MHZ MWANZA.
 
Mzee mbona unaripoti kwa mafumbo kama gazeti la serikali? Si utuambie ni kata gani na ni akina nani badala ya inasemekana na hizi blah blah
 
Naona hii inakuwa ni utaratibu kila mahali. I think kuna pepo waliyemkumba ndani ya msitu wa mabwepande!
 
Mzee mbona unaripoti kwa mafumbo kama gazeti la serikali? Si utuambie ni kata gani na ni akina nani badala ya inasemekana na hizi blah blah

walopigana ni wa kata ya Busisi , ambapo baadhi ya wajumbe waliwakunjia ngumu viongozi wa ungozi uliopita huku wakirudisha kadi za CCM.

Kwa mahitaji ya majina yao na full story, visit , tanzania daima-sauti ya umma < www.freemedia.co.tz >
 
wajumbe wa mkutano mkuu wa kata moja huko sengerema kwenye jimbo la aliyekuwa waziri wa nishati na madini,ndg.ngeleja, wamepigana ngumi kwa kile kilichodaiwa kuwa ni viongoz wa ccm kata hiyo kuchakachua majina ya wagombea.
Inadaiwa viongozi hao wa chama cha zamani waliondoa majina ya wagombea wengine bila sababu ya msingi.

Source > radio saut fm,96.1 mhz mwanza.

tumeshasema ccm ndiyo chama cha vurugu mnabisha sasa wenyewe kwa wenyewe wametwangana safi sana hakuna haki huko au na leo chadema walikuwepo?
 
najua we ni gamba,ndio maana roho inakuhuma ukipata habari ambazo sio nzuri kuhusu chama chako.

Wajumbe wa mkutano mkuu wa kata moja huko sengerema kwenye jimbo la aliyekuwa waziri wa nishati na madini,Ndg.Ngeleja, wamepigana ngumi kwa kile kilichodaiwa kuwa ni viongoz wa ccm kata hiyo kuchakachua majina ya wagombea.
Inadaiwa viongozi hao wa chama cha zamani waliondoa majina ya wagombea wengine bila sababu ya msingi.

Source > Radio SAUT FM,96.1 MHZ MWANZA.

Kata ipi?
Majina gani yamechakachuliwa?
Chama Cha Zamani?????????????!!!!!!!!!!!!! or you mean Chama Cha Zamani (CCZ)?
 
walopigana ni wa kata ya Busisi , ambapo baadhi ya wajumbe waliwakunjia ngumu viongozi wa ungozi uliopita huku wakirudisha kadi za CCM.

Kwa mahitaji ya majina yao na full story, visit , tanzania daima-sauti ya umma < Tanzania Daima - Sauti ya Watu >

Ahsante sana mkuu, Magamba hawana chao tena kanda ya ziwa. Wamejaribu kila aina ya fitina imeshindikana.
  1. Mwaka 1995 walitumia vita na machafuko ya nchi jirani kuwalaghai watanzania wa vijijini kuvinyima kura vyama vya upinzani kuwa wakivichagua mambo yatakuwa kama Rwanda na Burundi, hii haina mvuto tena
  2. Mwaka 2005 wakatumia ukabila na udini kulaghai, kwa kuwa wanakijiji wengi kanda ya ziwa siyo waislamu tuliambiwa ooh CUF ni ya waislamu hivyo tukiichagua nchi itageuzwa iwe ya kiislamu
  3. Mwaka 2010 walitumia dini ile ile lakini kwa staili nyingine - kanda ya ziwa waliambiwa mkiwachagua CHADEMA waislamu wataanza kujilipua kama wanavyofanya Iraq, walipofika pwani na maeneo mengine yenye waislamu wengi wakabadirisha lugha wakasema CHADEMA ni chama cha kanisa hivyo mkiwachagua nchi itaendeshwa kama kanisa
Hata hivyo single zote zinaelekea kuchuja na ukweli utajitenga, kadri siku zinavyosonga mbele, chama kinazidi kupoteza mvuto maeneo pekee kilichokuwa kinajidai nayo (vijijini). Tunajua Mijini kilishafariki siku nyingi na isingekuwa nguvu ya pesa na dola ofisi zake za mijini zingekuwa zimebadilishwa matumizi au kuwa za vyama vya upinzani
 
Back
Top Bottom