Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

M4C sijui kwa nini mnaziogopa mikoa ya pwani. Tanga kumelala mno, bado wanaimba CCM hoyee... Siye kama mzee mzima wa Mondouli ahamii CDM. Basi sisi tunakuja. Njooni mkomboe, Tanga, Pwani na Mtwara.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama umefuatilia kwa makini kufuatilia kikao cha leo cha Bunge utangundua kuwa ama CCM wamejiua (Wameshakufa kisiasa) au hawakujiandaa vya kutosha kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi... Werema...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Mazishi ya marehemu Yohana mpinga aliyeuawa na vijana wanaodaiwa kuwa wafuasi wa CHADEMA yanafanyika hivi punde katika kitongoji cha Kibaya kijiji cha Songambele kata ya Ndago wilaya ya Iramba...
0 Reactions
127 Replies
11K Views
Katika wakati ambapo watu wanasubiri kuchangia maoni yao ya kutunga Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sisi wengine tuanjua ya kwamba hatutapata muda wa kuchangia hasa kulingana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Our greatest fear is not that we are inadequate, but that we are powerful beyond measure. It is our light, not our darkness, that frightens us. We ask ourselves, Who am I to be brilliant...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Picha na mipango ya kumfanyizia Dr. Olimboka kumbe ilishapangwa kitambo sana, walipanga kuwa wawauwe raia na kusema majambazi ndio walio mteka katika harakati za kumwokoa naye akawa kapoteza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Filamu ya Kova haujaeleweka kuhusu aliyemteka Ulimboka haijaeleweka kwa wananchi, arudi tena studio- mhe. Sugu Joseph Mbilinyi.
11 Reactions
90 Replies
10K Views
Napenda kuchukua nafasi hii kwanza kuikumbusha Tume ya Kukusanya Maoni kuhusu uandikaji wa Katiba Mpya ya nchi yetu kuwa pamoja na utaratibu waliojiwekea kufuatana na Sheria inayowaongoza, napenda...
0 Reactions
1 Replies
781 Views
TFCG, Misitu Yetu Project: Pande Game Reserve Misitu Yetu Project: Pande Game Reserve Participatory Forest Management Summary The Tanzania Forest Conservation Group has been working with the...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
MBUNGE wa Kigamboni, Dk. Faustine Ndugulile, amesema kuwa licha ya kusimamishwa kuhudhuria vikao vitatu Bungeni kwa ajili ya kuwatetea wananchi wa Kigamboni, ataendelea kupambana kuhakikisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi karibuni kumeibuka tabia ya kuziba watu midomo kwa kusema "Suala hili lipo mahakamani na haliruhusiwi kuzungumiwa hapa". Mijadala mbalimbali bungeni hususani inayotolewa na vyama pinzani...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani Zito Kabwe mbona siku hizi kapoa sana sio kama mwanzo au ndio kamwachia mnyika au kulikoni
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Ndugu wa Tz wenzangu habari za muda huu,Hakika tumeshuhudia udhaifu mkubwa wa Spika wetu sababu ya Uchama badala ya uspika,ni maoni yangu kuwa spika atokane na chama tawala na naibu spika atoke...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mbunge wa Njombe Deo Fulikunjombe ameshangazwa na jeshi la polisi kutokuwa na vifaa vya kisasa na kulikejeli kwamba jeshi hilo sasa lina virungu tu ambavyo vinatumika kukandamiza Chama cha...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Ni ajabu kila kitu had kipelekwe nje,CRIMINAL INVESTIGATION ingekua rahis sana kama Forensic Chemistry ingewekezwa,KESI YA LULU NA KANUMBA,MWAKYEMBE ni rahis mno lakin serikali inatuangusha.....
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Wadau wa katiba, tafadhali sana naomba mniwekee hapa ratiba ya tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya, manake naona kama inatolewa kwa kushtukiza.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sugutuambie lukuvi alikuwa anakuambia nn..anakutisha?au wanataka ukashiriki kwenye muvy inayofanyiwa marekebisho na kova......
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Na Mwinyi Sadallah 18th July 2012 Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), wamesema Mwenyekiti wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Spika Makinda ameliambia bunge kuwa ana ujumbe mwingi kutoka kwa wananchi wakilalamikia mwenendo wa bunge kuwa halina heshima, wabunge wanabishana na kuzozana sana! Mimi jamani, labda mimi nina...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom