Zitto kapotelea wapi?

Zitto kapotelea wapi?

KASMIR

New Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
3
Reaction score
0
Jamani Zito Kabwe mbona siku hizi kapoa sana sio kama mwanzo au ndio kamwachia mnyika au kulikoni
 
Jamani Zito Kabwe mbona siku hizi kapoa sana sio kama mwanzo au ndio kamwachia mnyika au kulikoni

Mshaanza chokochoko zenu! Posti ya kwanza tu unaanza kuulizia watu?! Umetumwa nini?
 
Zitto toka alipobambikiwa bajeti yenye mapato "0" hana hamu na "software" ya mahesabu ya chadema, made by Josephine.
 
Kwa kweli zitto kwa sasa amekuwa kimya sana sijui ni kwa nini? kwa sasa tunawasikia akina mnyika ,sugu na yule mwanasheria,
 
Zitto toka alipobambikiwa bajeti yenye mapato "0" hana hamu na "software" ya mahesabu ya chadema, made by Josephine.

...hahahaaaaaaa...alafu hakuipitia kwanza kabla ya kuipeleka bungeni...
 
nape's new recruits..si unajua mwaka mpya wa fedha wa serikali umeanza..ccm wanajichoteaga huko kwa shughuli za kipuuzi kama hizi
 
the first post unaongelea watu for your information Zitto is south attending a special Bunge session. need say more?
 
Khaaaaaaaaa! mkuu posti ya kwanza tu umeanza na Zitto?
 
Kila mtu anayo haki ya kutoa mawazo yake. Hata wewe una haki na uhuru huo. Zitto kuongea ama kutoongea sioni kosa, 'no research no rights to speak' walijua hilo?
Khaaaaaaaaa! mkuu posti ya kwanza tu umeanza na Zitto?
 
Toka alipowasilisha bajeti kivuli ya upinzani simuon zitto kabwe yuko wapi amepunguza cheche siku hizi hasa bunge hili. mwenye taarifa atujuze
 
[south kikaz] hapa vp rais dr slaa makamu zitto hapo hatuchukui nchi! vp wanachadema hii imekaa sawa!!
 
Back
Top Bottom