Gazeti la Sauti Huru Lina Nini na Chadema?

wikolo

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
800
270
020.JPG
 
jamani uhuru wa habari na huolela wa vyombo vya habari ni shida :frusty:
 
no research no right to speak. km gazeti, linatakiwa lifanye uchunguzi wake kiuhakika ndon litoe habari husika kwa walaji. ikifanyika kinyume chake ndo utasikia gazeti linafungiwa au kudaiwa fidia. lakini sbb ni magazeti ya propaganda ndo hivyo tena. kinachofurahisha sasa ni kuwa wananchi wa tz wanaelewa kila kitu na hawadanganyiki.
 
Haya si yananzimshwa kwa malengo kama hayo tu kudidimiza upinzani, na unakuta yanapata ruzuku kutoka somewhere kwa sababu ukiangalia hayauziki kivile kwa hiyo hata garama ya kuyachapisha ayarudishi ndo maana yanasapotiwa na chama au watu fulani
 
no research no right to speak. km gazeti, linatakiwa lifanye uchunguzi wake kiuhakika ndon litoe habari husika kwa walaji. ikifanyika kinyume chake ndo utasikia gazeti linafungiwa au kudaiwa fidia. lakini sbb ni magazeti ya propaganda ndo hivyo tena. kinachofurahisha sasa ni kuwa wananchi wa tz wanaelewa kila kitu na hawadanganyiki.


Ni kweli mkuu enzi zile walikuwa wanawatisha mama zetu,baba zetu na wazee wetu lakina sasa wamefika mwisho, kwni kizazi cha uoga kinaelekea kuishia.wamejaribu mangapi wameshindwa?
 
jamani uhuru wa habari na huolela wa vyombo vya habari ni shida :frusty:

Sikatai juu ya uhuru wa vyombo vya habari, lakini ni sawa kweli kwa tahariri kama hiyo iliyoandikwa? Inaonekana kama Chadema walishaua na wanaendelea kuua na hapo mimi binafsi ndo nimeshindwa kuelewa manake vyombo vyetu vya usalama havijatuambia hayo yote.
 
hako kajarida kasiwasumbue kichwa hakafiki hata zaid ya mikoa 5 zaid kanaishiaga hapo lumumba
 
Hili gazeti linaiangusha fani ya wanahabari. Inatakiwa umakja wa wanahabari wakemee habari za upotoshaji/ zisizochunguzwa. Ilivyoandikwa ni kama habari ya uhakika huku ikionyesha wazi kuwa gazeti hili linatumika kisiasa (kwa propaganda) kuliko kitaaluma ya habari.
 
Siku hizi ukiamka asubuhi na kujadiliana na mke wako kesho mnaanzisha chombo cha habari. Magazeti kama haya ni kansa kwa mustakabali wa amani ya ustawi wa jamii yetu.
 
Jamani mnaangaika na nini hawa jamaa wa hilo gazeti baada ya kuona gazeti la uhuru halina soko wameamua kuanzisha hilo gazeti kwani lina undugu mmoja na gazeti la uhuru
 
Sauti huru, Uhuru, Habari leo, Daily News, Jambo Leo, hivi ni vipaza sauti vya chama cha mabwepande, siyo magazeti haya hizo ni taka taka tu, ni mataahira tu wanaoweza kuamini ujinga unaoandikwa na hivi vipeperushi.
 
haya si [color=8008000]yananzimshwa[/color] kwa malengo kama hayo tu kudidimiza upinzani, na unakuta yanapata ruzuku kutoka somewhere kwa sababu ukiangalia hayauziki kivile kwa hiyo hata garama ya kuyachapisha ayarudishi ndo maana yanasapotiwa na chama au watu fulani

na wewe acha papara unapoandika, kwanini usijiridhishe kwanza kabla hujapost?
 
Back
Top Bottom