Aibu jeshi la polisi kuwa na virungu vya kunyanyasa CHADEMA-Deo Fulikunjombe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aibu jeshi la polisi kuwa na virungu vya kunyanyasa CHADEMA-Deo Fulikunjombe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Jul 18, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mbunge wa Njombe Deo Fulikunjombe ameshangazwa na jeshi la polisi kutokuwa na vifaa vya kisasa na kulikejeli kwamba jeshi hilo sasa lina virungu tu ambavyo vinatumika kukandamiza Chama cha Demokrasia na maendeleo-CDM.
  Nanukuu maneno ya Fulikunjombe aliyotamka:
  ''Aliitaka Serikali kuongeza fedha zaidi ili kuliwezesha Jeshi la Polisi kununua silaha za kisasa: “Polisi hawana silaha zozote kuwawezesha kupambana na uhalifu na badala yake limeachiwa virungu ambavyo huvitumia kupigia wanafunzi, wakati wa migomo na maandamano ya Chadema,” alisema Filikunjombe.

  Source:Mwananchi
   
 2. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kweli huyu mwanamama aliichamba sana serikali na zaidi nilimuona kama anajipendekeza kwa jeshi la polisi ,ila aelewe polisi bado ni chombo cha CCM ,hivyo kama anataka kulilipapatua jeshi hili liachane na CCM ni bora akalikandia nakuonyesha sehemu ambazo polisi wametumika kama nguzo ya CCM,na sivinginevyo.Awambie polisi wajitahidi kuikimbia CCM au wakati utakuja kuwakumu ,wakati ambao CCM watakuwa benchi au haipo ,kesi za kuwashitaki polisi zitakapofumka.
   
 3. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Atakuwa na damu ya CDM huyo....wampime!
   
 4. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwiba Deo Filinkujombe siyo mwanamama!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Lavie

  Lavie Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tanzania kuna Genge la vilaza walioajiriwa kulinda usalama wa CCM na makuwadi wao. Lifie mbali.
   
 6. j

  jossy chuwa Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna vitu ambavyo hamjui. ukiongea ukweli tafsiri yake wewe ni Chadema. ukiongea uongo na unafiki wewe ni CCM!
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Awe makini asije akapelekwa mabwepande
   
 8. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mmomonyoko sio mmomonyoko kama hakuna athari kwenye ardhi, Je mmomonyoko wa kisiasa utakosa athari?
   
 9. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kichaa mmoja aliziwasha nyiti zote za kiberiti, moja baada ya moja, ili kuhakikisha kama ziko katika hali nzuri. Alipomaliza akasema, "Barabara!, zote ni nzima."

  Kwa hivyo mimi nashauri bora wabakiwe na hivyo hivyo virungu, wakiununuliwa silaha mpya watataka kuzijaribu juu ya miili yetu.
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Naona ana hamu ya kung'olewa meno bila ganzi....
   
 11. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Deo Filikunjombe sio mwanamama!
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kama gongo la mboto.
   
 13. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Duh ,basi yupo mwanamama ambae alikuwa ni wa mwisho kuzungumza kabla spika hajafunga kikao ni wa CDM ,alisema sana maneno yenye uhakika.
   
 14. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kawapa live za uso!ni vile alikuwa polisi anajua vema namna wanavotumika kudhibiti wanasiasa tu wa upinzani
   
 15. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Hakuna asiejua uhalifu wa CCM hata wao wanakiri
   
 16. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,380
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Huyu jamaa namkubali kwa kusema ukweli japo ni magamba!
   
 17. m

  manucho JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mwimba amekalia mwiba nani atauchomoa
   
 18. L

  Lyogohya Member

  #18
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Deo mwanasiasa makini hataki kuingia kwenye historia ya siasa za majitaka ya chama cha mabwepande.
   
 19. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  POLISI SI MABWEPANDE.
  kazi kwelikweli.
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  mbona unamtukana mwanaume mwenzio kwa kumuita mwanamama?

  Kumbe jeshi la polisi ni mali ya ccm,asante kwa taharifa hii nzuri!
   
Loading...