Ukitaka Kudanganya Usimtumie Kova, utavuliwa nguo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukitaka Kudanganya Usimtumie Kova, utavuliwa nguo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 18, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,371
  Likes Received: 8,463
  Trophy Points: 280
  Picha na mipango ya kumfanyizia Dr. Olimboka kumbe ilishapangwa kitambo sana, walipanga kuwa wawauwe raia na kusema majambazi ndio walio mteka katika harakati za kumwokoa naye akawa kapoteza maisha katika maeneo ya Pwani.

  Wakapanga iwe kuwa ni ndugu wa wagonjwa walio fiwa na wagonjwa kwa sababu ya migomo na ndio walio mteka na kulipiza kisasi.

  Nyingine walipanga kusambaza kuwa katekwa na madaktari wenzake baada ya yeye Dr. Olimboka kuwageuka na kula mlungula na kuwaacha hewani huku yeye akineemema na hela za rushwa.

  Picha ya mwisho ya kichina ni ya Raia wa Kenya na Mch. Gwaijima ilipopikwa na ikawa mbichi ikashindwa kulika.

  Akaenda mbali na kudai keshafikishwa mahakamani ili kufunga raia mdomo wakujadiliwa.


  Si mara ya kwanza kwa Kova kutumiaka kama jojo.

  Makundi ya wanaharakati yanapoomba kibari cha kuandamana huja mbele ya kamera na kutoa sababu mfu mara hakuna askari wa kutosha, mara kuna Alshabaab , mara kuna kundi lingine wanaopingana watawavamia na kusababisha vurugu..

  Tujiulize kwanini kova anasisitiza kuwa tume ya uchunguzi iongozwe na Msangi wakati hatakiwi na katika majakama ukikataliwa na mshitakiwa au yoyote yule jaji hujitoa kuna nini hapa kwa Kiva?
   
Loading...