Sugu: Salaam kwa Kova; Filamu yake na Mch. Gwajima haijaeleweka, arudi Studio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sugu: Salaam kwa Kova; Filamu yake na Mch. Gwajima haijaeleweka, arudi Studio

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ngoshwe, Jul 17, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Filamu ya Kova haujaeleweka kuhusu aliyemteka Ulimboka haijaeleweka kwa wananchi, arudi tena studio- mhe. Sugu Joseph Mbilinyi.
   
 2. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,373
  Likes Received: 8,495
  Trophy Points: 280
  Katoa ya mwaka baada ya kuzungumzia kesi iliyoko mahakamani na kumwomba Kova kuwa filamu yake na jambazi wa kumtengeneza haijakaa vizuri kachemka arudi studio. Hii ni baada ya taarifa kuvuja kuwa mtuhumiwa ni usalama wa taifa na ukweli kuwa hakuna mtu anayemjua kwa sura na hata mahakamani hakuna aliye shuhudia mtuhumiwa akienda kwa mashtaka ya utekaji.
   
 3. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  NANI katoa ya mwaka IPI?
   
 4. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  message sent and deriver.....:peace:
   
 5. F

  FAMILY LAW Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndo nini? weka maelezo vzr tuelewe wote.
   
 6. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  He made my day......................amesema "Kova filamu yako haijaeleweka rudi studio huitengeneze tena"
   
 7. Ntaramuka

  Ntaramuka Senior Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Leo wakati akichangia bajeti ya wizara ya mambo ya ndani, mh Sugu amemtaka Afande Kova arudi tena 'studio' kurekodi upya 'filam' yake ya KUTEKWA KWA DK. ULIMBOKA! Hii imenifurahisha sana, cjui prodyuza wake ni nani!
   
 8. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Hebu fafanua hii kitu tukuelewe. Mbona unatoa habari kama taarifa ya habari za kimataifa za ITV?, (yaani msitari mmoja tu habari imekwisha!)
   
 9. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Katika kuchangia bajeti ya wizara ya mambo ya ndani mbunge wa mbeya mjini mh. Joseph Mbilinyi amesema filamu ya Kamanda Kova kuhusu kova na mchungaji juu ya kutekwa kwa dr Ulimboka haijaeleweka kwa wananchi na amemtaka kamanda kova kurudi studio upya ili kuiandaaa upya filamu hiyo ili ieleweke kwa wananchi.Naomba kuwasilisha.
   
 10. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  kamwambia kova filamu yake ya aliyemteka ulimboka ni ya kichina...arudi studio...ha ha ha..
   
 11. K

  Kengedume Senior Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sugu kasema ukweli, hayo maigizo ambayo afande kova na mchungaji gwajima kama ma stearing wa movie hii bila kumsahau mkenya bado haijakamilika! sugu kalonga!
   
 12. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Spika au Mwenyekiti amemruhusu azungumzie suala hili wakati Kova alisema liko mahakamani? Hajamwambia afute kauli yake au atamtoa nje na kumpeleka kwenye kamati ya maadili kwa sababu anatafuta 'cheap popularity'?
   
 13. M

  Magesi JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  A2letee part 2 ya usanii wake Gwajima kamuumbua cjui kova atakimbilia wap
   
 14. D

  Determine JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mheshmiwa spika ile filamu ya kamanda Kova na Mch juu ya utekaji wa Dr Ulimboka bado haieleweki kwa wananchi kwa hiyo arudi studio" Mhe. Sugu
   
 15. s

  slufay JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kumbe yuko vipi kweli ; Rais wa"Mbeya
   
 16. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sugu kweli katoa ushauri wa wengi..
  Hata mimi nashauri script ziandikwe upya,
  kova awe starring badala ya Gwanjima.
  Yule 'Kichaa' afe kwa kupigwa mawe
   
 17. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  sugu kaongea la maana
   
 18. m

  makamaka Member

  #18
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  kamanda kova bado anaishi zama za giza,anadhani watanzania wapumbavu kiasi hicho kidogo cha upeo wa kufikiria kama alionao yeye.akiri wazi kwamba inshu ya ulimboka ipo nje ya uwezo wake
   
 19. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ha haaa hata mimi nimeona,Kova anatakiwa kurudi studio.Ila tangu alivyoanza kuongea AG na Lukuvi walikuwa wamekunja ndita maana walikuwa wanajua muda wowote atawalipua.
   
 20. m

  maswitule JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,385
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kova kachemsha na amelipaka matope jeshi letu la police, nimekubali kwa mtu makini inaweza kuwa ngumu kudumu kwenye jeshi la police maana wakuu wapo kutumika, Hongera Deo Filikunjombe kwa kuacha upolice maana kwenye siasa tunaona unafanya vema.
   
Loading...