nkyalomkonza
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 1,154
- 443
Hivi karibuni kumeibuka tabia ya kuziba watu midomo kwa kusema "Suala hili lipo mahakamani na haliruhusiwi kuzungumiwa hapa".
Mijadala mbalimbali bungeni hususani inayotolewa na vyama pinzani huzimwa kwa ubabe kwa kutumia kauli hii.
Ifike wakati kuzipitia upya sheria hizi zisiwe kandamizi kwa wananchi. Kazi ya sheria sio kuwabana watu bali kuwasaidia jamii kuishi ipasavyo.
Natoa wito kwa wadau kulaani hii tabia inayoibuka kwa kasi.