Kwa hili la leo ni wazi kuwa CCM wamejiua!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili la leo ni wazi kuwa CCM wamejiua!.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ni Mimi Msiogope, Jul 17, 2012.

 1. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama umefuatilia kwa makini kufuatilia kikao cha leo cha Bunge utangundua kuwa ama CCM wamejiua (Wameshakufa kisiasa) au hawakujiandaa vya kutosha kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi...

  Werema na Lukuvi wana wakati mgumu kuukubali ukweli huu..
  Mkuu wa kaya naye ana wakati mgumu kama mwanamke mwenye mimba ya miezi 8 na siku 29...
   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Jibu ni rahisi...

  Pale CCM bado kuna watu wazuri .... Wahame chama haraka ... Waanzisha CCM yenye misingi na itikadi za Kweli Za TANU na ASP ... Wafanye Update kidogo... Iwe ile CCM AZIMIO LA ARUSHA CCM AA the Conservative CCM... SALM AHAMED SALM anaweza kutoa ushauri kwa hili kundi.

  CCM ya Pili hii ya kina Kikwete, Lowasa na wenzake ... CCM AZIMIO LA ZANZIBAR CCM AZ The Liberal CCM.

  Hawa Conservative CCM hawa ndio wanaweza kuokoa nchi kwa kuwatimua hawa liberal wasinii wakubwa wanohatarisha Taifa. Hawa CCM AA ndio wanaweza kuchuana ki ukweli na CHADEMA na kuleta upinzani wa kweli wenye tija na maendeleo.

  ..Ninaamuru hili litokeee!!
   
 3. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Mbona una tabia za kibunge bunge ww?
   
 4. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jk na seekali yake yote waliliongelea swala la ulimboka na kutekwa kwake,,je ccm wako juu ya sheria?
   
 5. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza kundi la kwanza 'Wasafi' bado lina imani potofu yenye 'ukakasi' machoni kuwa wanaweza kuwabadilisha kina JK na 'Wachafu', Wanadhani kuwa wana uwezo wa kutengeneza 'CCM mpya' soon!

  Aibu! Kinachoonekana sasa wamemezwa na 'Wachafu' kwa kuhongwa na kununuliwa... Pili hao 'Wachafu' wameamua kutoana kafara kwa kupeana 'Kazi maalum' kama kina Nchemba, Wassira, Lucynde na Wille Lukuvi. Naona mbele yao joka kubwa la Nguvu ya Mabadiliko likiwa limetanua mdomo mkubwa sijui kama watanusurika. Watake wasitake wanaweza kupotezana njia wakati wakijaribu kulikwepa Joka hili lenye macho ya kutisha!..
   
 6. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mkuu hii process yote ni ngumu sana kufanyika katika CCM, watu wanataka ku get rid of the name 'CCM'. Njia rahisi kabisa kwa CCM kubakia na hao conservative ni kwa CCM kuwa out of power for at least 5 years. Ni dhahiri wale waliopachika mirija yao kwenye rasilimali za nchi kwa kutumia tundu la CCM watapukutika baada ya tundu hilo kuziba kwa CCM kuwa out of power.
   
 7. B

  Bob G JF Bronze Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  wamebuni njia ya kukwepa na kuzuia aibu kwa kuwatumia polisi kukamata watu then wanawafunga mdomo watu wasijadili eti iko mahakamani, mi naona kama wanajimaliza zaidi
   
 8. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahaha...
  Leo nimecheka sana "Suala la Ulimboka lipo Mahakamani". Ndo walipokuwa wanakimbilia? Iko hivi: Ukiwa unafukuzwa na hatari kubwa nyuma yako ukiona hata 'Kibanda cha nyasi' unaweza kuamini kuwa afadhali kitakusitiri ukaingia lakini ukasahau kuwa '******' umeacha nje!..

  Sifafanui zaidi.
   
 9. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika leo nimekumbuka mengi sana!
  Hebu jiulize "Ukiwa vitani mkiwa mnanyata ghafla askari wote mlio front line mkagunduana kuwa mmekanyaga mabomu ya kulipuka ikiwa mtanyanyua miguu kupiga hatua (Spring Bomb), kuna jicho flani litawatoka wote ghafla"..

  Hapo ndipo walipofika CCM
   
 10. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nasisitiza Kama Taifa hili Lina punje ya Kunusurika ... LAZIMA CCM AA ... Wajitokeze na kuchukua hatamu tena haraka sana.

  Walipofikia sasa CCM ZA ... Lbereal CCM y a wasinii ... Ni kama Watoto wasio kuwa na Wazazi ...!!

  CCM ZA wanavyokabilina na CHADEMA ... ni kama watoto walio na umri mmoja ..wanhitaji MZAZI wa kuwa simamia ..na kuwapa Muogozo ...

  Vibaya zaid CCM AZ ya wasnii wana MADARAKA ya Vyombo Vya Usalama ... Watajiumiza wao wenyew enavyo ..na watawaumiza wancchi ...

  CCM AA ... NI BABA NI MZAZI MWENYE HEKIMA .... lazima aingilie Kati ... Hawa wana upeo wa Kuabiliana na CHADEMA na kupata upinzani wa kweli.

  HARAKA SANA WAHUSIKA ... FANYENI JAMBO HILI ....!!
   
 11. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taasisi ya Aibu iliyochokwa na wananchi kama CCM kujirekebisha inahitaji miaka zaidi ya 30 (Kutengeneza kizazi kipya). Hata hivyo bado sijakiona kizazi hicho kwa sababu kizazi cha sasa cha FB,Twitter na Skype chote hakitaki kusikia neno CCM.
   
 12. delabuta

  delabuta Senior Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbe ndio mpango wao kuwapeleka watu ambao hawahusiki mahakamani ili watufunge midomo imekuwa kwao vibaya sana ngubu ya umma.
   
 13. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  liwalo na liwe speed ya mkuu wa bunge na mratibu wa sera speed zao kwenye masuala ya ukweli yanayohusu taifa ni 1km/hr so inabidi watanzania tuzoe hii hali ya kwamba serikali hawataki kuambiwa ukweli.siku si nyingi itakuwa historia ya utumishi wao
   
 14. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanini unaumiza sana kisanduku chako cha kufikiria kwa ajili ya kuwaza 'ccm aa'?
  Amini usiamini sikushikii bakora wala kukuchapa vibao ili ukubaliane nami juu ya hili; Watanzania hawataki kusikia neno CCM iwe A,B,C,D au vyovyote itakavyoitwa!.. By the way hakuna ulazima wa kuwashikia mitutu watu unaosema 'Haraka sana' wakati kuna chama kingine chenye nguvu na Imara kuliko CCM iwe A,B,C,D au vyovyote itakavyoitwa! Maana na dhana halisi ya Watanzania kuishi kwenye mfumo wa vyama vingi ni kuwa "Ikiwa chama kingine kitalegalega kwenye uongozi wa nchi,chama kingine kishike hatamu"..

  Unachosema kitengenezwe 'Kiroboti' wala mimi sjiakielewa bado.
   
 15. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu unachosema wewe ndio kigumu na hatari kuliko nilichopendekeza ...!!

  Hawa Liberal CCM wasanii na Wa babaishaji ... Ndio wenye DOLA , VYOMBO VYA USALAMA ...Mkuu watatuchinja watatumaliza ..hawa !! Hawafikiri na kuona katika hali timamu ...!!

  Wanahitajika Watu wenye UTU na EXPIRIENCE KUBWA kuwakabili Hawa Wasanii na kuwanyanganya Zana za usalama wa Taifa kwa Busara ... Kwani sasa ... wamechanganyikiwa na malichoamua? NA LIWALO NA LIWE...Mkuu kuwachia hawa watu hata wiki mbili madarakani ... na Jeshi zima la Nchi likiwa mikononi mwao ...HUONI SYRIA IKINYEMELEA TANZANIA?

  NAKUAPIENI WANAHITAJIKA WAKONGWE KUOKOA TAIFA HILI TOKA MIKONONI MWA " LIWALO NA LIWE" wataitosa Nchi Mtoni ... Hatimaye watasema ...LILE LIWALO LIMESHAKUWA..

  Hima Watanzania wenye UTU, HEKIMA, BUSARA ...GAWANYANENI HIYO CCM MAPANDE MAWILI ...HARAKA SANA!!!!
   
 16. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kesho nimeomba Appoitment na mkubwa fulani wa mahakama (Asiyefungamana na upande wowote) tukalijadili hili... Kweli mahakama sasa inafanywa kichaka cha CCM kuficha maasi yake. Ifike mahali mahakama zikatae au ziamua kwa haraka kesi zenye malengo hayo mapema ili umma upate nafasi ya kujadili.
   
 17. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe mkuu, kwa spidi hii ya akina Mchemba, Nape, Komba n.k. hawa jamaa wao hata KUUA ili mradi CCM ibaki madarakani si tatizo kwao. CCM is getting out of hands na hawa "wahuni" wana nguvu humo!
   
 18. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana Ndo "Haraka yenyewe"
   
 19. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu si kwamba WAPINZANI wa Siria hawatachukua Nchi! LAKINI KWA GHARAMA GANI?

  CCM Bila kuvunjika Mapande mawali ..TENA HAKARAKA SANA .... Itabidi CHADEMA wachukue Nchi kupitia Njia ya Wapinzani wa Siria ... Na hili inabidi liwe CHAGUO LA MWISHO ...

  MAPANDE MAWILI YA CCM YATAPELEKEA NCHI KWENDA CHADEMA kwa HEKIMA , HESHIMA NA UTU WA TAIFA BADO UKIWEPO KIKAMILIFU ...

  NA HATA CHADEMA WAKIKAA VIBAYA NCHI INAWEZA KWENDA KWA CCM AA!!!? LAKINI HAPATAKUWA NA UMWAKIKAJI MKUBWA WA DAMU ... KAMA IKIWA ... HIVI INAVYOKWENDA ...!!

  So Natoa wito ... wenyewe uwezo waigawanye CCM mapande mawaili Makubwa ... haraka sana!!
   
 20. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa umbali kidogo naweza kuelewa unachomaanisha japokuwa hilo la 'CCM AA' ni Part II ya Movie ya 'Liwalo na Liwe'
   
Loading...