M4C Karibuni Tanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4C Karibuni Tanga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jul 17, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  M4C sijui kwa nini mnaziogopa mikoa ya pwani. Tanga kumelala mno, bado wanaimba CCM hoyee... Siye kama mzee mzima wa Mondouli ahamii CDM. Basi sisi tunakuja. Njooni mkomboe, Tanga, Pwani na Mtwara.
   
 2. M

  MgungaMiba JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 28, 2011
  Messages: 798
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 60
  Mbona Mtwara na Lindi zimeshakombolewa! Subiri tu, mambo mazuri hayataki haraka!
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  mbona lushoto tayari au unataka wilaya gani...
   
 4. h

  hans79 JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Sawa juhudi ziongezwe ili mkoa mnzima ukombolewe na pia tuongeze nguvu hasa mkoa wa Pwani.
   
 5. M

  Magesi JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  M4c iingie kila kijiji kila mtaa kwan huko ndiko wapiga kura wengi walipo
   
 6. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  tulia kijana hata roma haikujengwa kwa siku moja.
   
 7. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,906
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  ucogope mambo ya m4c yanakuja muda si mrefu safu inajipanga
   
 8. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,680
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Please we need to move with speed and efficiency CDM for Tanga faster!!!!! Si mnakumbuka Tanga ilikuwa ngome ya NCCR enzi za mtu mmoja alikuwa anaitwa Kimaro, CDM move to Tanga hakuna visingizio!!!!

   
 9. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Lushoto labda jimbo la lushoto na mlalo, lakini bumburi jimbo lote limejaa bendera za kijani?
   
 10. M

  Mkirindi JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 2,806
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  Tanga Hakuingiliki, haswa na CDM, wao wanakiona hiki ni chama cha wachaga, kwani huoni ule mkoa, una utajiri wa ajbu, lakini hakuna maendeleo hata kidogo. Ndugu zetu Wadigo na wabondei wamelala sana yao ni baraza na porojo tuu,
   
 11. M

  MgungaMiba JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 28, 2011
  Messages: 798
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 60
  Sio kweli bana! Tatizo ni kuwa CDM iliiachia CUF mkoa huu, ingawa nayo ilijitahidi na kupata karibia nusu ya viti vya Halmashauri ya jiji, lakini kwa sasa Cuf imeponzwa na ndoa yake na CCM, pia kusambaratishwa kwake na Hamad Rashid, sasa ishakuwa ni mdebwedo, sasa kilichobaki hata CDM ikibofya kiulaini tu, kutakuwa na mabadiliko makubwa sana.
   
 12. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,576
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Zama hizi inawezekana. Zama zile teknolojia ilikuwa bado duni. Liwezekanalo leo lisingoje kesho.
   
Loading...