Werema unatudhalilisha wanasheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Werema unatudhalilisha wanasheria

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpigauzi, Jul 20, 2012.

 1. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mambo anayofanya Jaji Werema yanaenyesha taaluma ya sheria inakufa. Werema badala ya kutoa arguments za kisheria anajikita kwenye ushabiki wa CCM. Hatukatai kulinda maslahi ya aliyemuweka madarakani lakini ilitakiwa aonyeshe uvumilivu kama mwanasheria aliyeiva. Inatia mashaka hata judgments zake akiwa kwenye bench kama zilikuwa na sababu za kisheria. Kama judge acha ushabiki wa akina Mwigulu na Lukuvi, kwa sasa Lukuvi na Form iv yake anaonekana kuwa na akili kuliko Judge.
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kwa mtindo huu wa kuteuana sidhani kama hawa wanaoteuliwa hawana element za magamba, mimi naamini raisi yoyote anayechagua watu hasa wa sehemu nyeti kama jeshi, mahakama nk lazima aangalie wale walio na chembechembe za chama chake. Na ndio maana sikushangaa kamanda Tibaigana alipostaafu alienda kugombea kupitia magamba kule jimbo la mama Tibaijuka. Lakini nadhani ifike wakati wanapochaguliwa au kuteuliwa wafanye kazi kulingana na misingi ya taaluma zao. Mwanajeshi afate misingi yake, mwanasheria afate misingi yake, daktari afate misingi yake na nk. Wajitahidi kutenganisha siasa na taaluma.
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Werema alipokea kijiti kwa chengeeee au nimekosea!!!
   
 4. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hapana alikuwa Johnson Mwanyika
   
 5. Bartazar

  Bartazar JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 805
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Kama alivyoongea kamanda Msigwa, Werema anafanana na magamba mengi, madokta na maprofesa walioweka taaluma zao mifukoni, na kufikiri kama watoto wa darasa la pili. Aibu kwa AG!
   
 6. flx109

  flx109 Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  shame on him
   
 7. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,801
  Likes Received: 6,311
  Trophy Points: 280
  Ni kama vile hatuna AG. Kuna watu ambao wanapelekea wananchi kuquestion relevance ya positions zao kutokana na utendaji wao mbovu. Do we really need an AG in Tanzania?

  Kuna wakati pia huwa najiuliza kama kweli tunahitaji kuwa na Makamu wa Rais. Nasikia Zanzibar wapo WAWILI!
   
 8. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Acheni threads za kipuuzi, wekeni mifano watu wajadili.
   
 9. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Alianza vituko kwa kusema mapenzi ya dharura ni matamu , akachekewa akaja akasema prof. Shivji hajui mambo ya katiba leo kasema kasema kazi ya kichwa sio kusuka nywele ni kufikiri... Kwasababu analelewa na kutetewa kwa kauli za kitoto namna hii na viongozi wa bunge sasa subiri kitakachofuata! Alaaniwe the president kwa kumweka galasa kama hili sehemu hii
   
 10. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Aisee!!
   
 11. b

  bashemere Senior Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ​mbona unaanza kulia ni gamba wewe?
   
 12. L

  Lekausia Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi simwelewi AG nadhani kuna haja ya kumpima akili atibiwe aache kuimba mipasho bungeni.
   
 13. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #13
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  ​Si mna chama cha wanasheria, mfutieni uanachama kwa kukiuka maadili ya taaluma yenu.
   
 14. C

  Chiya Chibi JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kiukwel huyu jamaa ni Kilaza, hata magamba nao naona wameshaanza kumshtukia! Ila nae naibu spika kutetea utumbo wa AG, na yee ndo kilaza bab kubwa. Upinzan waige maneno yale yale ya AG ili tuone kama wataambiwa wayafute, tena itakuwa vema akiwepo Naibu spika.
   
 15. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  CCM hata siku moja hawaweza kumpa nafasi mtu ambaye yuko streight because they are all crocked
   
 16. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,594
  Likes Received: 18,589
  Trophy Points: 280
  Kwenye sifa za uwaziri lazima kwanza uwe mbunge ndipo uteuliwe waziri. Ili kuwa mbunge lazima ule kiapo cha bunge. Rais alipoteua wabunge, walipaswa kwanza kula kiapo cha ubunge ili kwanza wawe wabunge ndipo wale kiapo cha uwaziri!. AG ni kilaza akasema kiapo cha ubunge ni kufanya mambo ya kibunge as if uwaziri sio mambo ya kibunge!. Hapa nilisema wazi AG wetu ni mtupu kwenye baadhi ya maeneo!.

  Juzi juzi baada ya Prof. Shivji kuendesha mihadhara mitano ya Ijue Katiba katika ITV na kuchambua madudu kibao kwenye zoezi hili la ukusanyaji maoni ya katiba, Werema akambonda Shivji ati hajabobea kwenye Sheria ya Katiba!.

  Jana nimemsikia mwenyewe kwa masikio yangu akisema "Kazi ya kichwa ni kufikiri na sio kuotesha nywele, na akaendelea kuwa sio kila mwenye nywele ana akili!.
   
 17. Papaeliopaulos

  Papaeliopaulos Senior Member

  #17
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Incompetent leaders always appoint incompetent person in the subordinates positions. If they appoint competent subordinates the system will collapse, because competent subordinates will neither tolerate rubbish Ideas nor follow foolishness instructions from their bosses.
   
 18. K

  Kakubilo Kasota Senior Member

  #18
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni kweli umekosea, alipokea kwa mwanyika (majina ya watu kuandikwa kwa herufi ndogo najua ni makosa, lakini mwenendo wao unanifanya niwe naawandika hivyo, hapa siwaombi msamaha), huyu mwanyika ndiye aliye mpokea bwana chenge.
   
 19. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  A.g amekosa busara kabisa badala ya kujib hoja ya tundu antiphes mughwai lissu yeye analeta maneno ya kejel ni ajab sana
   
 20. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu kwa wadhifa wake kama AG, yeye yuko kwenye kamati ya nidhamu ya wanasheria. Pia yeye kama AG ndiyo wakili nambari moja. Yaani anachukua umbele kwa mawakili wote wa kujitegemea na wa Serikali
   
Loading...