Wabunge wafidia (posho) muda wa disaster ya meli weekend hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wafidia (posho) muda wa disaster ya meli weekend hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Listener, Jul 21, 2012.

 1. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu zangu wabunge naona weekend hii wameamua kuendelea na vikao baada ya kusitisha zoezi hili katika kipindi ambacho kulitokea ajali ya meli. Lilikuwa ni jambo jema kuahirisha kikao kwani waliofariki ni ndugu zetu. Dukuduku langu ni kuwa imekuwepo sababu gani ya msingi kuendelea na kikao weekend hii?. Hii inapelekea mimi kuamini kuwa wanafidia posho ya kikao ya siku ambayo hawakufanya kazi. These guys are very tricky.
   
Loading...