Ilvyoripotiwa tukio la Uamsho Zanzibar kati ya vyombo vya habari huru na vya propaganda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ilvyoripotiwa tukio la Uamsho Zanzibar kati ya vyombo vya habari huru na vya propaganda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Jul 21, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  1)BBC SWAHILI: waumini wa dini ya Kiislam wa Zanzibara wametayanywa na askari polisi walipokuwa wakiwaombea dua waliofariki
  2)Idhaa ya kiswahili ujerumani. Polisi watumia nguvu kuwatanya waislam waliokuwa wakiomba dua.
  3)Idhaa ya Kiswahili VOA: Polisi wazuia dua iliokuwa inasomwa na waumini wa Kiislam
  4)Zenj FM leo asubuhi. Waislam watawanywa wakiomba Dua kwa ajili ya waliofikwa na msiba
  5)Chuchu FM- Waislam waliokuwa wakiomba dua wametawanywa msikiti wa Mbuyuni
  6)Sauti ya Tanzania Zanzibar(Sauti ya Serekali) Askari watumia mabomo ya Machozi kutawanya waumini wa kiislam

  MAGAZETI:
  Zanzibarleo- gazeti la serekali ya SMZ. hawakuipa kipaumbele habari hii


  MAGAZETI PROPAGANDA YA TANZANIA BARA
  1)Nipashe. hawa jamaa bado wanauchngu na makanisa yao- Habari imekaa kishabiki na kidini zaidi. Ukisoma tu utagundua muahriri kayaingiza maandishi yake.
  HII NI AIBU KWA TASNIA YA HABARI KUKAA ZAIDI YA KIDINI BADALA YA UTAIFA
   
 2. r

  raha54 Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatito nini hasa!
   
 3. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mleta thread nae anatumiwa na Uamusho kueneza propaganda zake hapa JF
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Yaliyo andikwa yote ni kweli
   
 5. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  ukweli ni kwamba UAMSHO ni magaidi sema serikali dhaifu ndio inaowalea
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mfumo Islam ( tende, halua, ubwabwa, gahawa, ujinga ) at work.
   
 7. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Aibu ya nini wewe, kama haujaipenda hiyo habari katika baadhi ya magazeti ilivyoripotiwa we kausha tu, si umeshaisoma kwenye vyombo vya habari vya kizenji imekutosha acha vyombo vya habari vya huku bara viandike vinavyopenda
   
 8. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 950
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Hiyo imezoeleka kijana waislamu kuitwa magaidi sio wewe mwanzo na uamsho inakutieni uchungu sana kuickia nyinyi mnayoabudu j2 hadi j2 na bado itaendelea kuwepo uchungu ukikuzidi kula sukari uzimue kwani utajitesa roho bure kuichukia uamsho
   
 9. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 950
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Hata mfumo kristo ushoga, umalaya na kuabudu kwa ajili ya pesa sio dini
   
 10. by default

  by default JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  uro jo uro jo.uamsho ki2 gan mkidhubu2 kuja bara 2tawalamb bakora kama watoto endleen kuish uko kisiwan
   
Loading...