CHADEMA wakae chini wajipange

mpigauzi

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
275
71
Ni dhahiri kuwa CHADEMA wamesukiwa mikakati maalum ya kumalizwa kwa kutumia vyombo vya dola yaani Polisi na Mahakama. Kwa sasa ni vema wakafanya vikao vya dharula kujadili hali iliyopo. Pia ni vema wawaonye wabunge wao na wanachama waache kuongea hovyo hovyo kwani CCM wanatafuta loopholes za kuwamaliza. Mie bado nina imani CHADEMA ndiyo chama dola very soon. Lakini ikumbukwe CCM hawako tayari kutoka kirahisi. RIP CCM
 
We talk and we fight "John Guaranga, UDSM, 80s). Hukuna kulala mpaka kieleweke. Suala sio mimi na wewe ni mustakabali wa taifa letu. Taifa linalogawa dhahabu kwa asilimia 3%.
 
Back
Top Bottom