Sirleaf vs Dr Asha Migiro. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sirleaf vs Dr Asha Migiro.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MotoYaMbongo, Jul 19, 2012.

 1. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Inasemekana ziara ya rais wa Liberia, bi Hellen Sirleaf Johnson ni mkakati wa mkuu wa kaya kumuandalia mazingira ya Urais Dr Asha Rose Migiro, kwa kuwaonesha watanzania wasiojua kuwa marais wanawake wapo. Na kuwaaminisha kuwa wanawake wanaweza, ndio maana hata habari ya ziara yake inatangazwa na kupambwa sana na TBC. Lengo ni kulinda uovu wa magamba leaders ili wamkontroo rais akiwa mwanamke kama wanavyomcontroo Makinda. Nawasilisha.
   
 2. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Inasemekana, ziara ya rais wa Liberia bi hellen sirleaf johnson ni mkakati wa mkuu wa kaya kumuandalia mazingira ya urais dr asha rose migilo kwa kuwaonesha watanzania kuwa wanawake wanaweza. Ndio maana hii ziara inapambwa sana na TV Magamba TBC, wanataka kuwaonesha watanzania wasiojua kuwa marais wanawake wapo, ili watakapomleta Migiro waeleweke. Nawasilisha.
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Liberia ni kanchi kadogo, maskini na kasiko na influence yoyote popote zaidi ya kulalana na kufadhiliwa

  please... tusijishushe kupita kiasi watanzania....
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,598
  Likes Received: 18,601
  Trophy Points: 280
  Mawazo mengine ni "insinuations" na watoaji sio lazima mpaka "waokote makopo"!.
   
 5. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Acha hizo, mwanamke hawezi kutuongoza kwa nafasi ya Urais, si unaona tu kwa yule mmama wa mjengoni anavyotema pumba daily. Halafu ndo tuje tuongozwe na rais mwanamke???????
  Call your enemy what you are, and always tell exact opposite of the truth.
   
 6. Lavie

  Lavie Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wewe ni gamba!
   
 7. Small Boy

  Small Boy Senior Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwa kweli hawezi. akinda amethibitisha hilo pale bungeni...
   
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  yule mama hafai
   
 9. Joyum

  Joyum Senior Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Real! cant be jamani....
   
 10. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kuna wanawake wanaweza ila si wote kama vile kulivyo na wanaume wanaoweza lakini si wote. Hoja siyo jinsia bali uwezo. Watamuuzaji mtu kwa wananchi ambae aliboronga UN mpaka kunyimwa kipindi cha pili?
   
 11. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Tokana na kwamba mimi ni mwanamke I tend to be very interested in women wenye mafanikia makubwa katika jamii, sababu najuwa walitumia energy twice as much as mwanaume angetumia in the same position. Najuwa wengine wanaweza paka saana, But madame Sirleaf ana deserve, she is one Intelligent Lady… She is acknowledged and deservedly well respected in an International level.

  Hio uliosema ni moja tu ya theories ya wengi ambao wanatafuta maana ya ujio wa Madame Sirleaf. Of coz it's a move ambayo ni lazima ichukukuliwe kwa umakini na uzito. Inaweza pia kua ni hii..

  Wakati Dr. Migiro alipokuwa Deputy Secretary General wa UN walikuwa wakikutana kwenye Summits mbali mbali ama development/Innovation/Health Improvement related issues na Madame President Sir-Leaf. Take note Madame Sirleaf akiwa raisi nchi yake ni moja ya zile husika na chombo cha AU.

  AU na UN work together in many spheres… Katika Ulimwengu huo wanawake ni wachache sana hasa from African Nations. Katika kukutana huko wakajenga urafiki wa karibu hadi wakuwasiliana kwa ukaribu. Kwa personality na calculative moves za Dr. Migiro kuendelea kujenga huo ukaribu ni significant no matter the position she will hold in the future whether iwe ya Presidency or not.
   
 12. Mchambuzi

  Mchambuzi JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 24, 2007
  Messages: 4,819
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  With all due respect, Migiro inabidi afuate nyayo za Anne Tibaijuka kwani hajamfikia Tibaijuka in terms of experience on masuala ya kimataifa, utafiti na uongozi kwa ujumla. I think we are over hyping Migiro at present. Ni hazina yetu nzuri but bado she needs to learn from the best.
   
 13. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45

  Mkuu kwa manufaa ya sie ambao ni watupu naomba utowe nini hasa A. Tibaijuka yuko vizuri zaidi kuliko Migiro. Na unaposema hivo unasema katika ufanisi wao ama CV zao ama kwa vigezo vya nani anaweza kuwa raisi?
   
 14. F

  FJM JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Migiro alishawahi kuwa waziri wa wanawake na watoto then mambo ya nje kabla ya kwenda huko UN. Alifanya nini wakati akiwa waziri? Alitoa hata wazo la kupambana na tatizo la watoto wa mitaani?
   
 15. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280

  Makinda ..kashawaharibia wanawake ....kushika vyeo vikubwa....alianza Getrude Mongela..Spika bunge la africa ..akatuaibisha ugenini...hatukuamini....makinda ndio kabisaaaa..........so hatudangayiki tena kuchagua sketi bila kuangalia uwezo...wasimame anayefaa atapita regardless sex....
  Hata wabunge wa viti maalum hatuwataki
   
 16. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  mingiro hana uwezo wowote kuiongoza nchi, hata kule UN alipewa tu kama zawadi na ban ki moon kwasababu tz tuliwapigia kura, hili jambo limeongelewa sana na wazungu wamepinga san ahadi moon akaamua kumwagia manyanga kwasababu pressure ilikuwa nyingi sana juu yake, na hakuwa anafanya kazi kwa ufanisi wowote, yaani amepoa kama maji ya kwenye mtungi....hata uwaziri tu hapa tz hatufai, amefanya nini tangu aende huko UN.....ameacha legacy gani....kama ccm wanataka kupoteza urais 2015 wajaribu kumuweka huyu mama...tukija kwenye kujilinganisha na tibaijuka....tibaijuka ni kifaa cha juu sana hapa tz, na kama ccm watamuweka prof tibaijuka awe rais 2015 nitaipigia kura magamba...nasema hakika. huyu mama ukiachilia kuwa yeye ni professor, pia utendaji wake wa kazi ni fasaha sana, watu wa Nairobi wanaelewa hilo, na ameijenga sana Nairibi kwa yeye kuwepo pale habitat. akishika urais huyo atafanya vizuri sana.
   
 17. Mchambuzi

  Mchambuzi JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 24, 2007
  Messages: 4,819
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Kwanza Anne Tibaijuka has been the under secretary general wa UN kwa muda mrefu lakini pia at the same time head of the UN-Habitat. As the UN under secretary general she became the first and only African woman kuwa in such a high rank within the UN system. Vile vile kwa muda mrefu alikuwa member wa bodi ya UNESCO, blair's commission for Africa, let alone many other assignments WFP, Beijing conference on women etc. Tibaijuka is a true diplomat and shes fluent in English, French, Swedish.

  Pili, she has experience in research as she published numerous books and articles, sio magazetini bali kwenye reputable journals on issues pertaining to housing, economic development etc. Isitoshe, she has excelled her PhD into professorial level, and i think it is clear to almost everyone that Dr. Tibaijuka and Professor Tibaijuka carry totally different weights in the said fields.

  Tatu, She is a professor (not lecturer) of Economics and has taught that at the UDSM.

  Nne, ni Mbunge wa watu (mbunge wa watu JIMBO), sio mbunge wa Rais.

  Tano, ni Waziri wa sekta ambayo alikuwa anaifanyia kazi miaka nenda rudi in the UN system. Hivyo ni waziri by merit, na hata ukubwa wa UN HABITAT and under Secretary of the UN alipata by merit na ndio maana hapakuwa na malalamiko wala maneno alipoteuliwa kushika nyadhifa hizo. Isitoshe, nadhani sote tunaelewa mchakato wa kuteua mkubwa wa UN agency au position ya under secretary general unapitisha watu tanuri gani unlike cheo cha Deputy secretary general. Cheo cha deputy secretary wa UN ni kizito na kina heshima lakini ukipata nafasi, angalia job description and then compare it to vyeo vya head of any of the UN agencies.

  The bottom line is, tunajivunia Asha Migiro, lakini tusimpoteze akilini Tibaijuka, and any woman in Tanzania au Africa who wants to learn from the best baada ya utafiti mdogo tu atagundua hili.

  Naomba nieleweke kwamba sisemi Migiro hana uwezo kuliko Tibaijuka, my point is, tusimsahau Tibaijuka tunapoongelea sifa za Migiro.

  Kuhusu suala la nani anafaa urais, binafsi sina uwezo at this point kujenga hoja hiyo on neither of the two. Time will tell. Otherwise between the two, it is quite clear kwamba mmoja alijipanga zaidi ya mwenzake to have a progressive career (not regressive) kwa maana ya kwamba Tibaijuka hajajikuta kwenye fall back position unlike Migiro ambae anarudi alipotoka na pengine anasubiri baraka za Rais pengine amteue tena kuwa mbunge na waziri.
   
 18. b

  bdo JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,712
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  Kwa strategy hii ya Mkuu wa kaya basi tutegemee wengi watafika:
  1. Mama Banda - Malawi
  2. Angela Michael - Ujerumani
  3. Bibi Elizaberth - dola ya uingereza
  4. wale wa mama wa Philipine
  5. Na wengine hata siwafahamu
  6. na kuna siku mkuu wa kaya anaweza kusanya viongozi wanawake wote hapa TZ wakae pamoja na Migiro ili kujustify kuwa wanawake wanaweza na ni chaguo la chama kuwa mwaka huu lazima mhimili huu awe mwanamke

  Kazi kweli kweli
   
 19. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kule usangi barabara zilikuwa zikiwekwa lami kwa mapokezi ya huyu mama.nashangaa vyombo vya habari vimekuwa silent juu ya jambo hili.
  Migiro nenda kapumzike usangi kama msuya ccm mwisho wake ni 2015.
   
 20. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwanini kulazimisha mambo? Bi sirleaf yeye mwenyewe aliingia kwenye kinyang'anyiro kamshinda george weah duru ya pili ya uchaguzi. Sasa hapa bongo mnataka kuleta siasa za kubebana hata kama mtu hana uwezo mnasema huyu ni mwenzetu. Ndiyo maana hili linchi haliendelei!
   
Loading...