Spika Anne Makinda apigwa laana misikitini Unguja - Annur | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika Anne Makinda apigwa laana misikitini Unguja - Annur

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Jul 20, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Leo gazeti huru la Annur limeandika kwamba kitendo cha Mh spika kukataa hoja za wabunge alipoombwa kuahirisha bunge na kutoa maneno amabayo hayakuwa na Msingi kulifanya baadhi ya Wazanzibar kumlaani na kumupmbea dua mbaya misikitini
  wanadai wanaglikuwa wamekufa WABENA na WAHEHE angalitoa kauli ile?
   
 2. L

  Lorah JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hehehehehh..... Tunasubiri ifanye kazi maana sie tumekatazwa kulaani kwa hiyo tunamwachia mungu aamue mwenyewe...
   
 3. M

  Mnyakatari JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,556
  Likes Received: 486
  Trophy Points: 180
  Ningependa kujua msimamo wa zomba kwenye hili!
   
 4. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  makinda anatekeleza ilani ,sera na maagizo ya chama cha mapinduzi,,BORA HIYO LAANA INGETUMWA KWA CCM YOTE
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Msimamo wangu utaupata baada ya mimi binfasi kuona hoja za pande zote mbili za shillingi. Usiwe na jazba.

  Ingekuwa vyema mleta mada akaweka bandiko la ANNUR kwa hayo ayasemayo humu.
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mtalaani vipi mtu asiye wa dini yenu??hivi mbona waislam wanapenda sana visasi?
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kwa hivyo wakiristo ndio walitakiwa wamlaani mwenzao?
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Leo ndiyo Ijumaa, tusubiri kama watatoa laana yao katika Swallat'jumaa!
  Nasikia leo huyo mama hakuingia Bungeni kwa sababu anaumwa....Tayari?
   
 9. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  zombie kafunga.....
   
 10. KML

  KML JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  wamlaani nani waende zao...wao ndio Mungu/?
   
 11. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hizi dua tumezizoea na wala huwa hazina matokeo yoyote ya maana. Maana siku hizi hata kuku akidokoa mchele wanakimbilia tunakwenda kumsomea dua watupe matokeo ya dua ambazo wameshazisoma mpaka sasa hivi ili tuweze kuwaunga mkono kwa hii.
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  duhu. Wewe chadema tu. Ndio wenye Comment kama hizi
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  duhu. Huoni kila kiongozi wa chadema anakesi mahakamani? Hio ni mwanzo tu
   
 14. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Laana si lazima itoke kwa mtu mnayeendana naye Dini, mtu yoyote anaweza kukulaani na laana ikakufika kama kweli ulimkosea ipasavyo
   
 15. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waislamu bwana! Walimuombea sana dua mbaya g.w bushi lakini bado akapiga iraq na afghanstan na bado anapeta tu.....ngoja tuone kwa makinda
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  ok.lkn angalia viongozi wa chadema wanavyoahaha na makesi sasa. Ni dua tu ile
   
 17. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bible inasema msilipe kisasi kwani anayeweza kulipa kisasi ni Mungu pekee.....sasa waislamu sijui uamsho hayo mambo ya dua ya nini?....nadhani inabidi waiombee dua serikali au wailaani bahari kwa kuchafuka na kuuwa watu wengi almost mara mbili mfululizo. sikubaliani na kitendp cha makinda na simpendi kabisa yule mama kwenye kiti kile ila misingi ya dini lazima iwe ya kujenga umoja na amani sio ya kuombea duambaya watu.
   
 18. Ntaramuka

  Ntaramuka Senior Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dua za waislam hufanya kazi miongoni mwao wenyewe na majini yako huwa hazimdhuru mtu asiyekuwa muislam!
   
 19. KML

  KML JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hizi thread za kidini dini inabidi zisiwe zinawekwa hapa
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  muulize dk slaa + Mnyika. baada ya kupigwa dua, kivuli chao wanakiogopa wanadai wanataka kuuliwa
   
Loading...