Nape v/s Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape v/s Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Honey K, Jul 21, 2012.

 1. H

  Honey K JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya chadema kwa karibu sana na kugundua kuwa hujaa watu wengi sana kwa sababu ndio wanaonekana kimbilio pekee la watanganyika , lakini kwa mbali namuona huyu Nnape anakuja kwa kasi sana na anafanya kazi bila kulala, yaani kama Dr SlAA ataenda mtwara basi nape yuko bomba mbili songea.

  Sikatai CCM wamebaki na watu wachache sana wanaoweza kuwashawishi wananchi, lakini katika hao wachache namuona huyu nape ni sawa na makamanda kumi wa chadema, nina maana nape mmoja ni sawa na MBOWE, SLAA, ZITTO, LISU, LEMA, MNYIKA, MSIGWA, SUGU, MDEE NA YULE DOMO KUBWA SHIBUDA

  Mie sina chama ila nawapenda chadema lakini tuwe tunaangalia kwa wapinzani wetu nani tishio,
  Wakati Chadema wanazunguka tanzania nzima full squad, NAPE ANAZUNGUKA PEKE YAKE NA MIKUTANO YAKE INAJAA KAMA YA FULL SQUAD YA CHADEMA.

  Mie binafsi namuona nape kama marehemu HORACE KOLIMBA, kijana ni mkali kisiasa na ndio hazina kubwa ya CCM. anayepinga na aseme
   
 2. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  umetumwa nenda kachukue posho yako ya leo kwa nape
   
 3. paty

  paty JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,256
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nape hamna Lolote, nape na Letuz ni sawa tu, sema bwana letumz hana madaraka, ila wote ni ma zo-zo
   
 4. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kuchanganya chakula na Knyesi ni hatari kwa afya.
   
 5. M

  MC JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Nilivyoona umepost thread nikamshukuru Mungu Umeanza kupona.....; Nilivyosoma nikagundua hali yako imezidi kuwa mbaya, .... wafaransa wanasema 'Maladie Mentale'
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Huwaoni wakina Magufuli, Mwakyembe,Tibaijuka, Mzee wa............(Ban) Lameck Madelu (anatumia jina la mtu Mwigulu Nchemba) na mawaziri wengine wenye sifa Uchwara kama hao ambao wanaambatana na Nape?
   
 7. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Hata layman hawezi kukubaliana na porojo zako,Nape unamfananisha na Myika? Lisu? Sugu?Utakua unaumwa,mimi ni mtanzania asiye na chama bado ila naona uwezo wa wanasiasa.Mfananishe nape na wenzake kama Malisa,Shigela kwasababu kwa sasa hakuna mwanasiasa yeyote ndani ya CCM mwenye uwezo wa kukusanya watu kwa hiari bila Kutumia takrima kama chakula,fedha,usafiri n.k HAKUNA,kuanzia kwa chairman,secretary jeneral,hata huyo Nape.
   
 8. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kulinganisha nape na hata mchadema mmoja kuna hitaji uwe na kiasi fulani cha uchizi........nape si ndo akina mwigulu au? Sasa cdm inaingiaje na kulinganishwa na vuvuzela nepiasiyejua anaytumikia nani
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Nape anaweza kufua nepi za watoto waliojinyea na kujikojolea tu.
   
 10. K

  Kifuna JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 426
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kakuruhusu nani utoke Mirembe mbona bado hujapona sawasawa!! Rudi Mirembe haraka.
   
 11. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  pia nape anaongoza kwa kuwalipa vizuri hao pro ccm ...muda si mrefu yatakuwa wazi ni kiasi gani ameshatumia kuwalipa kupost ujinga.
  kwa nini awafuate cdm asiende na mipango yake mpaka aige cdm

   
 12. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Nadhani utakuwa Nape mwenyewe..huna hadhi hata ya kupambana na katibu wa chadema kata ya sombetini arusha
   
Loading...