Naibu Spika: Lugha ya kejeli na kuudhi kwa mtindo wa mafumbo ruksa bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naibu Spika: Lugha ya kejeli na kuudhi kwa mtindo wa mafumbo ruksa bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Salary Slip, Jul 20, 2012.

 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,015
  Likes Received: 37,745
  Trophy Points: 280
  Kwa maamuzi ya spika kufuatia muongozo alioomba Mh. Tundu Lissu juu ya kauli ya mwanasheria mkuu wa serikali ni wazi na hii ndio tafsri yake kuwa ameruhusu Lugha ya kuudhi na kejeli kwa mtindo wa mafumbo bungeni.

  Kwasababu alisema mwanasheria mkuu wa serikali yuko sahihi na hakumtaka afute kauli yake.

  Angalizo langu awe teyari kupokea na kuruhusu kauli hizo kutoka kwa wapinzani kwani majibu kwa kauli kama hizo hayaepukiki tena.

  Labda kwa wale ambao hamkupata nafasi ya kuangalia bunge kilichotokea ni kama ifuatavyo

  Mwanasheria mkuu wa serikali alitoa kauli bungeni ilionekana kumlenga Mh. Tundu Lissu kwa kusema kuwa kuna watu wanatumia kichwa kufuga nywele na si kufikiri.

  Baada ya kauli ile Mh. Tundu Lissu alisimama na kuomba muongozo wa naibu spika kuwa mwanasheria mkuu wa serikali afute kauli yake ila cha ajabu naibu spika alisema mwanasheria mkuu wa serikali yuko sahii.

  Narudia tena isiwe mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchungu na akuanzae mmalize.

  ALUTA CONTINUE
   
 2. K

  Kigano JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 349
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pia Naibu spika hakutakiwa kumsemea Mwanasheria wa serikali.

  Anyway, yote hayo yana mwisho, wenzio wanajaribu kutumia uwingi wao kulinda uovu. It will take time for Tanzanians to see the reality. Wachache wanaoona watawaeleza wengine, so kutakuwa na tricle down effect.

  Hakuna kitu kizuri kama uelewa unaochukua muda mrefu (uelewa wa taratibu), cuz unenda kujikita kwenye akili na mioyo ya watu na haufutiki tena.

  LET'S WAIT AND SEE.
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huyu mwanasheria mkuu ndie anayetumia kichwa kufuga nywele maana hana lolote la maana. Kutwa kupindisha sheria na kusimamia upande mmoja . Yuko kichama zaidi na si kiserikali.
   
 4. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Leo ijumaa bana ni shangwe mapemaaaaaa mabo ya kuchoma nyama mbuzi BUNGENI...
   

  Attached Files:

 5. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,015
  Likes Received: 37,745
  Trophy Points: 280
  Ni swala la muda tu kabla mambo hayajaenda kombo pale bungeni.
  Rubani akizembea utarajie nini kama sio ajali.
   
 6. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Uko sahihi mkuu,,kaegemea chama zaidi,lkn ndo mambo ya kuteuliwa there's no place utamtegemea awe tofauti na itikadi ya aliyemteua
   
 7. K

  Kigano JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 349
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niliona kweli Mwanasheria amefuga nywele nyingi ( kichwani), ila mh, if that is the style of rejecting important issues, then I am worried with our destination as a Nation. Niliona kwa macho yangu huo mjadala, so niliumia sana. and I think the Man ( Lissu) aliamua kutoka siyo kwa kukataliwa kutoa hoja, but ile hisia za Oppression, In humiliation, Discrimination, Disregard, na majina mengine unayoweza kuyataja, ya wazi kabisa, Nadhani aliumia sana.
   
 8. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,015
  Likes Received: 37,745
  Trophy Points: 280
  Mtu yeyote mwenye kupenda haki lazima aumie kwa namna kiti cha spika kinavyotumika.
  Hata hivyo,nasema yanayoendelea pale bungeni ni mtaji kwa wapinzani, ila tu wasikatishwe tamaa.Hii ni vita ya ukombozi dhidi ya wakoloni weusi.
   
 9. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 874
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 60
  kanuni , ubabe, kukosa hoja , wingi wa wabunge wakupinga makofi, na kupongeza wake zao na familia zao, ndo bunge letu kama tanuru la kula pesa za wapiga kura wetu na walipa kodi.Kimsingi ndugai, madam spika,na mapumba, wako kutetea serikali.watanzania wanawaona, hoja ya vifo vya watanzania wasio na makosa unaosababishwa na uzembe watndaji wabovu halikuwa hoja ya kutetewa na mtu yeyote.ndugai yeye bado usingizini anaona anaposoma vikanuni vyake nafikiri watzania wote ni wajinga.mwache akidodoka kwenye jimbo lake kwa jili ya unazi kama huu anaoonyesha waziwazi , ndo atajua.
   
 10. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Yana muda na yataisha soon!sijui watajificha wapi na madhambi yao na uoga wao ,dharau zao,kiburi chao....
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ni naibu spika huyu huyu aliyemuita mbunge wa Kawe Mh Halima Mdee 'kituko', na leo tena anaungana na kauli ya mwanasheria mkuu kumtukana mbunge wa Singida. Ni vizuri uongozi wa bunge utambue madhara yatokanayo na tabia zao bungeni kwa jamii ya watanzania. Bunge limekosa ustaarab kabisa kwa sababu kiti cha Spika kinatumika kukashifu wawakilishi wa wananchi. Hivi wakubwa wakizomewa huku mtaani kuna wa kumlaumu?
   
 12. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbona sijaona cha ajabu alichosema CAG, kuambiwa kazi ya kichwa sio kuotesha nywele, na si kila mwenye nywele ana akili ni tusi?? CDM mnalalamika sana mpaka mnaboa..
   
 13. Captain Phillip

  Captain Phillip JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 900
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Kuna wateuliwa wawili ambao binafsi nilishaacha kuwazungumzia hata kama watafanya nini kwa sababu uwezo wao wa kufikiri uko kwenye stage ya ''Menopause'' hawa nai Mwanasheria mkuu na Msajili wa Vyama.
   
 14. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,480
  Likes Received: 788
  Trophy Points: 280
  Unapokuwa na upeo mdogo wa kufikiria na kuchanganua maneno ndo unaweza kuandika kama wewe ulivyo andika hapa hatupo katika ushabiki mambo tunayotakiwa kuyajadili na kuongelea ni utaifa sasa kama tunakuwa na mwanasheria mkuu wa serikali ambaye anatoa maneno kama hayo unategemea taifa linakwenda wapi ndo maana hata Chenge alivyokuwa mwanasheria mkuu madudu yalifanyika na majibu yake unayo na hata aliyefuata alifanya madudu pia na hakudumu.kwa hiyo ndugu usilete ushabiki katika mambo ya muhimu humu JF.
   
 15. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Roho mbaya kwa Werema ni y kuzaliwa nayo na haja kulia Tarime ndiyo maana he is behaving like a child we know him well
   
 16. m

  mtendaji wa kijiji JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ndugu wana Jf Kitendo cha mwanasheria mkuu kutoa kauli ya udhalilishaji Bungeni leo kimenisikitisha kwa mara ya kwanza leo nikagundua kuwa nchi yetu ina mwanasheria mkuu ****, aliyekosa hekima, Adabu na ustaarabu. Haihitaji uwe Profesa kutafsiri maneno haya "Tumepewa vichwa si kwasababu ya kufuga nywele bali kufikiri" na "si kila aliyesoma ana Akili" maneno haya yalitolewa baada ya Mh Tundulisu kutoa hoja ya kuomba Bunge lijadili ajali iliyotokea. Maneno haya machafu ni dhahiri yalimlenga Tundulisu. Nakumbuka kitabu cha Tamthlya nilicho soama miaka iliyo Pita cha "Mfalme ****". Na kumfananisha Mwanasheria huyu na **** asiye jua kitu.
   
 17. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kwani kasemaje huyo werema?
   
 18. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Dhoooofliiiii
   
 19. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu the end justify the means. Mwache ajifurahishe kwa sasa
   
 20. m

  mhondo JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Analipiza kisasi baada ya Lissu kuwaponda majaji kwamba wanateuliwa kiupendeleo bila kufuata taratibu.
   
Loading...