Mapato ya gesi, na madini ya tanganyika iwe mali ya watanganyika .. Urojo wa zenji tuwaachie wazenji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapato ya gesi, na madini ya tanganyika iwe mali ya watanganyika .. Urojo wa zenji tuwaachie wazenji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chilisosi, Jul 21, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ndugu zanguni,
  Kumekuwa kila kukicha siku hizi tunasikia visima vya gesi vinatema kila kona ya tanganyika, Ruvuma , Mtwara, Mafia/songosongo, Na nasikia kuna matumaini makubwa ya mafuta lake tanganyika na kule lake Rukwa I mean sehemu za ukanda wa rift valey. pia kuna uranium inatema huko Ruvuma, Madini ya oxide ambapo huko mbeya ambako inasemekana ndio world largest reserve. Huko Mwanza nasikia migodi inatema vizuri pia. Hii ni dalili nzuri sana kama walivyosema wataalamu kuwa Tanganyika inaweza kuwa na reserve kubwa ya gesi na mafuta kuliko Nigeria. Hii inatokana na ukweli kwamba gesi inatema kote baharini na nchi kavu.
  Wakati tunayasikia haya, hata siku moja sijasikia kuna kisima kinatema Kule kwa wana uamsho.
  Hawa kupe wanatupigia makelele kila kukicha wanatuchukia sana iwe muisilamu au mkristo wao na wabara ni sawa paka na mbwa.
  Hivyo basi nazani sio haki kuona mapato yetu sisi makafir au tuseme wabara yanawalisha hawa boko haram halafu wakishiba wanaanza kututukana. ni sawa tu na wale wasomalia waliopewa ukimbizi UK na nyumba za kuishi bila kusahau kulishwa bure, matibabu bure, bila kufanya kazi lakini wakaenda kuwapiga mabomu kuwaua watu wanaowalisha na kuwapa hifadhi.
  Zanzibar ni kama somalia tu, hakuna muwekezaji atakayerisk kwenda kuwekeza pale kwenye sekta ya mafuta kwa sababu hakuna uhakika wa usalama. ni bora kutochimba mafuta , kuwaacha wauane, wakiisha basi mmarekani anaingia na kuchima mafuta bure kama vile iraq.
  mie naomba serikali isitumie mapato yetu kuwalisha hawa wazenji, tuwaache wale jeuri yao, wale urojo. watashiba.
  Wanadai bandari yao itawalisha wakati watumiaji wakuu wa hiyo bandari ni wabara na kila kitu wanachoingiza kwao zanzibar kinakuja kuuzwa bara. hivyo naomba serikali ilegeze masharti ya ushuru kwa bandari ya mtwara au tanga ili iwe kama zanzibar hapo tutakuwa tumewamaliza.
  Baada ya hapo tafadhali naomba umeme wetu usipelekwe zanzibar kwa sababu sie wenyewe haututoshi tunaishia mgawo kwa sababu tunashea na hawa magaidi.
  Mmwisho kabisa naomba huyu ngommbe tanganyika akaogeshwe ili kupe zanzibar atutoke ili tupate usingizi tumechoka kunyonywa na kutukanwa.
  Mnakumbuka wasoma walivyomfanyia mmarekani alipokwenda kutaka kutuliza vurugu?
  Baada ya mmarekani kuondoka Somalia mpaka leo somalia huwezi kukaa chooni ukajikamua kwa amani, ma..i yanarudi yenyewe kwa sababu milio ya risasi na mabomu kwao ni kama vile honi za magari pale posta
   
 2. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  It was announced in February 2012 that the collapsed volcano approximately 200km north of Mbeya, Mount Ngualla, contained one of the largest rare earth oxide deposits in the world.[3]
  Wikipedia
   
Loading...