ccm mungefuata haya msingekuwa na vita na chadema

​hizo ni sumu kwa viongozi wa ccm maana wamekuwa na siasa za chuki mara wakizidiwa wanakuja na kusema ukanda,udini,ukatoliki mara wanaanzisha uamsho ni kufirisika kisiasa maana nape anawezaje kuongoza melikebu iliyopasuka na isizame
 
Back
Top Bottom